Ritakahama
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 758
- 409
Jamani wapendwa kwa muda miezi sita nimekuwa busy hata kulala kwa mashaka nimechoka sana hivyo basi kwa sikukuu hi natoa ofa kwa jinsia yoyote above 18years and except married men tutoke out anitembeze viwanja vikali vya mji huu gharama zote kwangu ila sharti ni 2 tu awe anajua kuongea Kifaransa kwa ufasaha asiwe anatumia kilevi chochote.Karibuni