ha ha ha haSipati picha unavyorefresh pm ndugu yangu
mkuu zama tu pm,kuna fursa huko.
Sipati picha unavyorefresh pm ndugu yangu
Hio ni typing error mkuu ilitakiwa iwe he/sheUpendo wangu mimi na wewe RAFIKI hautofika mwiisho wanaosema na waseme sisi wala hatutofika mwiisho..mr nice
Salaam kwako rafiki,Hutaki rafiki mulume unataka wa jinsia ya kike tuu..?
Sent using Jamii Forums mobile app
ha ha ha ha
nlikuwa nao.. lkn sjawah kubahatika kuwa na rafiki kama nnae mhitaji, wengi washkaji tu.. people who mind their own business, they dont give a fu*c..Mkuu nikutakie kila la kheri
Ila nilikua nataka kujua katika maisha yako ya kila siku,labda kazini,wakati unasoma?hauna marafiki kabisa?
Nimekuelewa Mkuunlikuwa nao.. lkn sjawah kubahatika kuwa na rafiki kama nnae mhitaji, wengi washkaji tu.. people who mind their own business, they dont give a fu*c..
ujue yule mtu ambaye hamfahamiani hata ukiwa unahitaji ushauri unaweza mwelezea kila kitu since humjui vzur, but yule unayemfahamu unaweza kumwonea aibu flani hivi..Nimekuelewa Mkuu
Lakini kama hao ambao ndio upo nao karibu,mnafahamiana lakini mmeshshindwa kuwa marafiki,huku mtandaoni utaweza kumpata huyo unamuhitaji?
Hahaha alikuja?Kama mm nilipokuwa nasubiri PM ya mtt mmoja kila dakika 5 nime-refresh [emoji23][emoji23][emoji23]
Upo sahihi sana Mkuu,wapo watu wema sana tu huku!ujue yule mtu ambaye hamfahamiani hata ukiwa unahitaji ushauri unaweza mwelezea kila kitu since humjui vzur, but yule unayemfahamu unaweza kumwonea aibu flani hivi..
yes..naweza nkampata.. najua unajua kuna ile one out of hundred so i believed among these hundred fake people, i can meet this one person i need