Naibadilisha basikwa ile picha..?? Hapana aysee sjapenda kabisa
ukiangalia ambulance ilivoandikwa kwa mbele unaweza usitambue haraka, ila ukiangalia kwa kutumia side mirror utasoma vizuri tu.
😀 mwanzo umesema marafiki zako wa mwanzo walikua wanajali mambo yao tu hapa mkuu ndio sijakuelewa kabasaaaaa yawezakua mwenzetu unahitaji uangalizi maaalum mpaka hao wengne ote wakashindwa kukutimiziamkuu hata kichwa cha habari hujaelewa tuu???
Haya kaka
Ahahahahhaah kuna watu wachokozi. Ety ndoano imeparua jiwe....mvuvi anajua mapezi.Sipati picha unavyorefresh pm ndugu yangu