A guy friend

A guy friend

Siipendi kabisa hii notion, hakuna popote kwenye utamaduni "wetu" na hata ule usio wa kwetu kwamba kukisha kuwa na urafiki kati ya msichana na mvulana basi kitakachofuata ni kuvuana magagulo na kuchezeana makojoleo! Wewe tafuta rafiki -- usiweke dotted line, kwisha habari yake.

hehehe
 
It is possible kama hakuna atakayekuwa na feelings na mwenzake! Lakini ikitokea mmoja akaanza hata kugusia tu. . Na vile ni marafiki with time you can start feeling each other! Mapenzi ya mazoea mi nayaaita, mara nyingi wale watu tunaona mmmh huyu alimpendea nn huyu mbona hawaendani mengi yanakuwa yametokana na mazoea! Wako kazini pamoja muda mrerefu au mahali popote wanajikuta wanafall tena haswaaa!
 
Siipendi kabisa hii notion, hakuna popote kwenye utamaduni "wetu" na hata ule usio wa kwetu kwamba kukisha kuwa na urafiki kati ya msichana na mvulana basi kitakachofuata ni kuvuana magagulo na kuchezeana makojoleo! Wewe tafuta rafiki -- usiweke dotted line, kwisha habari yake.

Gurta umetishaa Du! Guys where do you get these terminologies? @makojoleo hahahaaaaa
 
Wamarekani wanasema kuwa hakuna urafiki kati ya mwanamke na mwanaume....
 
Hello everyone! Ninatafuta a guy friend not a "boy friend" but a guy friend ambaye atakuwa rafiki wa karibu bila mapenzi or sex attachment.

nashkuru uliyekuwa unamtafuta umenipata hi baby
 
Don't you need a girl-friend? May i be your girl-friend?we might turn out to be BFFs.....:juggle:
 
Don't you need a girl-friend? May i be your girl-friend?we might turn out to be BFFs.....:juggle:
I was specifically searchn for a guy friend, but no harm, u can totally be my girl frend
 
Back
Top Bottom