A Journey to the smart world: Ifahamu teknolojia ya Artificial Intelligence na utendaji wake wa kazi

Sawa ila ukweli ndio huo..sayansi imejibu maswali mengi ya binadamu kuliko dini.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee kweli usichokijua ni usiku wa giza.Kwa matango mwitu mliyo lishwa,it seems there is nothing I can do to change your mindset.Ninyi ndio mlioaminishwa kwamba maendeleo ni kuwa na gari nzuri,nyumba nzuri,barabara nzuri,mitandao ya simu,social media nk.nk..Wajinga kweli kweli
 
Najua hapa sio kwetu,sisi ni wapitaji tu.
 
Ndio maana nimesema hujui maana ya neno "development,"umelishwa matango mwitu.

Maana halisi ya development ni hii,"an event constituting a new stage in a positively changing situation without impacting negatively the health of the population under consideration."Anything short of this is under development.To me at least,most of the things I see around me is under development.
 
Kwa kusema bro nilimaanisha brother au kaka.Kama wewe ni sisy au sister samahani.
 
Mimi nadhani definition ya development ni pana sana inategemea unadefine maendeleo ya nini. So siwezi kubase kwenye definition yako wakati mimi maendeleo kwangu naweza kusema vingine kabisa ilimradi nimetoka stage moja kwenda nyingine
 
Kwa kusema bro nilimaanisha brother au kaka.Kama wewe ni sisy au sister samahani.
Haina shida. Wewe uliandika brother mimi ndo nikafupisha bro. Ila mm kwenye Avatar yangu gender yangu ipo wazi sijaificha.
 
UMEENDA GOOGLE KUNCOPY THEN UKAJA KU PASTE HAPA.
KAMPUNI YA GOOGLE NI MOJA YA KAMPUNI ZILIZOWEKEZA ZAIDI KWENYE AI,MACHINE LEARNING NA NEURALINK.
tumia akili yako kujifunza benefit ya vitu mbalimbali..usitumie hiyo akili kutafuta negativity kwenye ulimwengu huu wa maarifa.
 
Ana-rgue na mtu ambaye ni diagnostic na ana mawazo mapana.Mtu intelligent hakubali kila kitu.
Wewe hauna intelligence yoyote...upo shallow sana kwenye ufahamu wa vitu mbalimbali..ego ndo inakufanya ujione ubishi ni intelligence.

AI TUNAI apply kila siku katika maisha yetu ya kila siku.

Simu unayotumia kwenye processor yake inatumia machine learning ambayo ni branch of AI.
 
Aisee naku-shangaa sana,kwani wewe AI uweifahamia wapi mwenzangu,hebu nifahamishe.Mimi mengi nimejifunzia shule,na waalimu nao wame-google.Na vitabu,journals,machapisho mbali mbali yako Google au kwenye internet.Au mwenzangu wewe una mahali pengine unapo patia taarifa zako?
 
Hapo kwenye hesabu hapoo. Mimi napenda kusoma mambo mengiii but not mathematics.
Halafu unakuta kwenye huto tuhesabu hadi Log una apply loh nilishangaa sana. Ila ukijua ni raha sana unaweza kuchat na mtu kwa kutumia binary number ili asijue
 
Nasikitika kwamba dunia ndio iko hivo and there's nothing we can do to stop technological change and development kikubwa ni kujichunga. But ukweli ni huo maisha lazima yaendelee Mungu atulinde tu.

Hua nasikitika sana kuona watu wakitendeana ubaya sisi kwa sisi ilikua inafikia hatua najuta hata kuzaliwa dunia hii maana ubaya upo kila mahali watu hawawezi ishi tu kwa upendo na wema. Nilikuja gundua napoteza muda wangu there's nothing I can do to stop or change it. Ukitaka kutembea na nyoka nawe tambaa
 
Da'Vinci kukata tamaa ni kitu kibaya sana.Mimi sitakata tamaa,I will keep on mobilizing people,labda siku moja watu watazinduka na kuwageukia NWO,after all sio wengi.Wao na agents wao staunch World wide sidhani Kama wanazidi 10,000.So tukizinduka we still have a chance.
 
Halafu unakuta kwenye huto tuhesabu hadi Log una apply loh nilishangaa sana. Ila ukijua ni raha sana unaweza kuchat na mtu kwa kutumia binary number ili asijue
Weeee mie mhhhh hesabu ni majanga. Nakumbuka nilikua mtaalamu shule ya msingi nilipoingia sec ndo ikawa bye bye nikawa nafanya ilimradi nisipate chini ya D.
 
Nilitaka niliseme hilo.

Msisitizo uwe watu kujitatulia matatizo katika mazingira yalo mbele yao.

AI ndo yaja kutawala maisha yajayo.

Kwa mfano AI pia sasa hivi imechukua nafasi ya mawakala (footbal scouts) kwenye kutambua vipaji vya vijana wajuvi wa kuucheza mpira.

Kinachofanyika ni app iitwayo AI Scout ambayo humpa wakala kila taarifa ya mchezaji kuanzia performance hadi danadana.

Hivyo vilabu vingi vya mpira sasa hivi huko duniani vyatumia hii app ambapo wachezaji wadogo wenye vipaji kuchaguliwa na kufanyiwa trials.

Nasisitiza, AI yaingizwa taratibu katika nyanja mbalimbali za maisha yetu ya kila siku.

Cha muhimu kujiandaa.
 
Mkuu unajua artificial inteligent is not inteligent,
Na machine learning is not learning.
Hizi terminology zipo for marketing purpose only.
Hawana tofauti na makampuni ya mitandao ya simu ya bongo yanayo kuambia usajili
laini ya 4G ilihali Tanzania hatuna 4G even 3G bado hatujafanyia consumption ya kutosha.
 
Hizi ni scientific myth umeandika.
Kuhusu dunia kuwa duara sikweli kwamba walikuwa hawajui,
Kuanzia kwa copenicus, mpaka Galileo hata watu
wa misri walijua hilo.
 
Mkuu hebu fafanua hasa hoja yako ni ipi kwa maneno haya?? Ulichosema nimeelewa, lakini je Unataka kusema nn kuhusu AI??
 
Hizi ni scientific myth umeandika.
Kuhusu dunia kuwa duara sikweli kwamba walikuwa hawajui,
Kuanzia kwa copenicus, mpaka Galileo hata watu
wa misri walijua hilo.
Je unadhani watu wa mwanza walikua hawajui uwepo wa ziwa Nyanza hadi pale wazungu "walipolivumbua?"
 
Nothing is impossible with tremendous ambition..Man

Mkuu hapa pia unaji-contradict unasema hakuna,
lisilo wezekana then unasema nothing you can do to stop them.
Inaleta walakini...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…