A Journey to the smart world: Ifahamu teknolojia ya Artificial Intelligence na utendaji wake wa kazi

Wewe ndio umenikot bila kusoma uzi, na ukanishtum kwamba nimeenda kuedit baada ya kusoma kwako. Kumbe unajichaganya mwenyewe coz mimi nazungumzia barua zilizoandikwa miaka mingi iliyopita, ww unaleta habari za ChatGPt ya juzi.
See, Ujuaji sio kitu kizuri
Unachekesha kweli dogo.

Okay let me take u back tulipoanzia.

Mwanzo nmekuquote ulisema "AI ina faida nyingi kuliko hasara" na ndipo concern yangu ilipo kwenye hio line

Nikaja kukuquote nikimaanisha AI ina madhara kuliko unavyodhan sababu probably upo nje ya game lenyewe na nikakupa mfano kwamba elon, woz na wengine wameshaandika na kusain barua ambayo imelenga kuzuia maboresho zaidi kwenye AI, na ndani ya hio barua GPT3 na GPT4 ni moja za topics, mmm nikachagua kutolea mfano.

Sasa wewe ukaja tena unaniquote unasema hio barua umeshaiona na umeisoma so unaandika unachokijua.

Baadae tena unaanza kuongea uchwara tu ndo maana kufupisha story nikakwambia kwamba hatukuelewana toka mwanzo uliponiquote, hukuelewa naongelea barua gani wewe ukadakia juujuu bila kuelewa hio barua na dhumuni la mm kuiingiza kwenye comment yangu.

Yote hayo ni kwa sababu husomi vitu ukaelewa, unakurupuka tu uonekane smart. Sasa hadi hapo mm na wewe nani analeta ujuaji? Ungekua na akili ungeishia hapohapo niliposema hukunielewa toka ulivyoquote comment yangu ya kwanza

Usiforce sana kuonekana smart dogo, bandiko zako nyingi kuhusu tech humu ni uchwara tu nasomaga nacheka, endelea kuandika khs movies haya mambo waachie wataalam wake
 
Be Humble, Ujuaji sio kitu kizuri.
 
View attachment 1311559
Salute..
Maisha yanakwenda kwa kasi mno mengi hayawezekani hayapo wenzetu huko wanakesha kutuonyesha jinsi kila kitu kinawezekana kama ukiwa na nia thabiti na mipango. Huko duniani kuna vitu vinaitwa Futurist na Futurology, Futurist ni watu wanaojihusisha na mambo ya Futurology. Futurology inafahamika kama Future studies (masomo yanayohusu mambo ya baadae), Ni masomo yanoyohusu ku-predict mambo mbalimbali yajayo kwa kufanya tafiti kuangalia mambo yaliyopo sasa hivi na kutabiri mambo yajayo.

Futurist wanapredict mambo yajayo kwa kuangalia siasa za dunia,teknolojia ya mwanadamu, intelligence ya mwandamu, Ustaarabu wa mwanadamu, uchumi,nk nk na kutabiri kua miaka kadhaa ijayo kutakua na hiki au kile.

Kwa mfano Futurist wanaelezea jinsi labda maisha ya ya mwanadamu dunia baada ya miaka 20, 30, 50 ijayo yatakua ni maisha yatakayokua yame Advance zaidi. Tutakua tunaishi katika Smart World hivyo binaadamu anaweza kusafiri less than 30 min kutoka bara moja kwenda lingine, Binaadamu anaweza kuanaanza kutumia teknolojia ya Artificial Intelligence At large, kilimo, Elimu, teknolojia vitaboreshwa, Dini zinaweza kua zimeungana nyingi kurudi kwenye shina kuu (Hasa ukristo)

Hapa tutaangalia Sayansi (Fizikia, Biolojia, hesabu) inaendea kubadili mfumo wa utendaji wa shughuli za kila siku za mwanadamu na kuzifanya ziwe rahisi zaidi. Miaka 20 tukijaliwa uhai tutaona dunia nyingine kabisa iliyopiga hauta katika mambo mbalimbali huku Teknolojia ya Artificial Intelligence ikiwa nyuma ya mabadiriko yote hayo..Always remember mwanadamu anafanya kila njia kua Achieve maisha yasiyo na kifo kwa ghalama yoyote ile.

View attachment 1311562
Genesis
Tarehe 4 September 1927 Boston Massachusetts alizaliwa mtoto kutoka familia ya wahamiaji kutoka Ireland ya bwana John patrick na mkewe Ida McCarthy ambao walikua ni wayahudi, mtoto huyo aliitwa John McCarthy. John McCarthy akiwa mdogo aligundulika kuwa ni mtu mtoto mwenye uwezo mkubwa wa akili hasa zaidi upande wa masomo ya Hisabati, akiwa kijana mdogo yupo shule alikua anajifundishi yeye mwenyewe hesabu za vyuoni kwa kutumia vitabu. Mwaka 1951 alihitimu PHD ya hisabati kutoka chuo cha Princeton University. Alijikita zaidi kwenye masuala ya sayansi ya Computer.

Mwanzoni wa Miaka ya 1950 kulikua na majina mbalimbali amabayo walikua wanayatumia kuita mashine ambazo zina uwezo wa kufikiria, kulikua na majina kama Cybernetics,automata theory, complex information processing nk. Mwaka 1955 McCarthy akiwa ni profesa msaidizi wa hisabati katika chuo cha Dortmouth aliunda kundi ili kuthibitisha na kuendeleza theories zinazohusu mashine zenye uwezo wa kufikiria(thinking machine).

Upande wake alichagua jina la kuita hizo thinking machine ambalo ni Artificial Intelligence. Mwanzoni mwa mwaka 1955 McCarthy alienda kuomba ufadhili wa kifedha ili kuendesha seminar aliyokua amepanga ifanyike kipindi cha wakati wa joto yeye pamoja na wanasayansi 10. McCarthy alienda kuomba msaada huo kwenye Rockefeller Foundation inayomilikiwa na familia tajiri zaidi duniani ya Rockefeller Familly, walifadhiliwa. Semina/mkutano huo unaitwa Dortmouth Conference, ulidumu kwa muda wa wiki 8. Ndani ya mkutano huu ndio kukazaliwa rasmi Artificial Intelligence huku John McCarthy akiwa kama ndio founder wa project hii.

Artificial Intelligence ni nini?
Artificial Intelligence (AI)
ni software ambayo iliyotengenezwa kua na uwezo kama binaadamu, inaweza kufikiria, kupanga kitu, kujifundisha/kusoma kutenda kitu na kuweza kufahamu lugha zetu wanadamu. AI imegawanyika sehemu kuu mbili ambazo ni Weak/Specilized/Narrow Artificial Intelligence na Strong/Generalized/Specialized Artificial Intelligence.

●Weak Artificial Intelligence.
Ni aina ya AI ambayo imeundwa kufanya kazi fulani tuo (specific task). Haiwezi kufanya kazi nje ya kile kitu ilichoamuliwa kufanya, lakini inaweza kujifunza pia juu ya kitu hicho ilichoamuliwa kufanya.....ndio maana inaitwa Specializeed pia.

Mfano mzuri wa Weak AI ni Siri na Alexa, hizi ni Intelligence Virtual Assistance au intelligence personal Assistance ambazo zinatumia sauti katika kuwasiliana na mtumiaji. Siri inapatikana kwenye vifaa vya Apple na Allexa inapatikana Amzon.

Siri na Alexa ni mfano mzuri wa weak au Specialized Artificial Intelligence maana japo hizi AI zinaonekana kuwasiliana na kufikiri kama binaadamu pindi zinapoulizwa swali au kufanya kazi fulani, majibu yanayotolewa na siri au alexa yapo progammeda pia kabla ya siri au alexa kutoa majibu ya ilichoulzwa hua inakagua kwanza ni aina ipi ya jibu litakalofaa kutoka kwenye bank/akiba yao ya majibu/responces mbalimbali.

Kiuhalisia siri au alexa hua hafahamu alichoulizwa ila hua inachukua zile keyword unazotamka kisha inaenda kuzifananisha katika bank ya majibu iliyonayo. Baadhi ya mifano mingine ya weak Artifiacial Intelligence ni magari yenye uwezo wa kujiendesha,netflix, fraud detector, Email filters,Facebook newsfeed, google Assistance nk

●Strong Artificial Intelligence.
Hii ni aina ya AI ambayo hufanya kazi zake bila kusimamiwa na hufanya kazi nyingi (unspecified task). Ni aina ya AI ambayo inaweza kujifunza yenyewe vitu vipya. Mfano unapokua unacheza video game na computer technically unakua unacheza na strong AI, inaweza kujifundisha jinsi ya kukwepa mitego yako,inaweza kukusoma unavyocheza na kubuni njia za kukukwepa. Hapa kwenye Strong AI ndio lengo kuu ya mada hii.
View attachment 1311573

Kuwepo kwa strong AI wanasayansi wametengeneza vitu mbalimbali ambavyo vinatumia AI, wametengeneza maroboti yenye uwezo wa kufikiri nakutenda kama binaadamu mfano kuna yule robot aliyepewa uraia wa Saudi Arabia anaitwa Sophia, kuna robot mwingine anaitwa QT-1 ambae yupo kwenye chombo cha anga huko juu anafanaya kazi ya kuongoza robot wenzake.

Makampuni mengi yanatengeneza maroboti mengi kutokana na matumizi ya shughuli mbalimbali. Inakadiriwa miaka 5 ijayo robots zitachukua nafasi nyingi za kazi. Sex robots zote ni Strong AI..Elon musk kawekeza sana kutengeneza vifaa vyenye teknolojia ya Artificial Intelligence

Pia Artificial Intelligence inaweza kua programed ikawekwa ndani ya Computer au mashine yoyote halafu wewe ukawa unatoa command halafu yenyewe inafanya kazi. Nadhani humu wengi tutakua tumeina muvi za Avangers, iron man zote 3, Captain America, spiderman homecoming na far from home. Ndani ya muvi hizo kuna Artificial Intelligence inaitwa F.R.I.D.A.Y na J.A.R.V.I.S, hizi ni baadhi ya AIambazo nazizungumzia hapa. Zinaweza kujifunza chochote na kutenda na kujibu chochcote. Unakua unazipa command zenyewe zinatenda lolote kutokana na jinsi ulivyozipa access.

Kubwa zaidi inasemekana AI inaweza kupandikizwa ndani ya mwili wa mawanadamu na kua intergrated with brain..Mwanzo huko juu niligusia kua John McCarthy alienda kuomba ufadhili wa mkutano wake uliozalisha hii Artificial Intelligence, nkasema kua alienda kuomba ufadhili kwenye Rockefeller foundation. Hivyo basi unaweza kuona kwa jicho la tatu kua AI ipo chini ya Rockefeller Family, Wazee wa conspiracy theories wanasema kua rockefeller family ni moja kati ya familia 13 tajiri za Illuminat (wanao andaa ujo wa mpinga kristo).

Kama mtakua mnakumbuka miaka ya 2011/2012 kuliibuka mashekhe na manabii uchwara mabao wao kila kitu walikua wanakihusisha na illuminti/Freemason huku wakisema kua eti wazungu wanataka watuwekee kitu ndani ya miili yetu ili kiwe kinatuocontrol. Wapuuzi wale walikua wanazungumzia Artificial Intelligence bila kua na uelewa wowote maana kuna uhusiano mkubwa kati ya kua Shekhe au nabii uchwara na ujinga…Then aint big deal, tuendelee na mada yetu.

Artificial Intelligence licha ya kutumiwa kwenye vifaa vya kiteknolojia na maroboti lakini pia inaweza kuwa intergrated na ubongo wa wanadamu, kwa waliosoma Neurology wanaweza kuelezea vizuri..Mtu anaweza kuwekewa chip ya AI kwa matumizi mbalimbali kutokana na yeye anataka nini. Lakini hili nadhani linatumiwa zaidi katika masuala ya ulinzi na ujasusi.

Turing Test.
Mika ya 1950 Mwanahisabati kutoka England aitwae Alan M.Turing alianzisha kipimo cha kupima kama kweli mashine/computer zinaweza kufikiri kama mwanadamu. Kipimo hicho kiliitwa Turing test, kipimo hicho pia kilitabiri kua mpaka miaka ya 2000 computer zinazotumia Artificial Intelligence zitakua haziwezi kutofautishwa na binaadamu kama mwanadamu na computer hiyo wakifanyiwa mahojiano.

View attachment 1311575
Matumizi ya Artificial Intelligence Jeshini.
Kama utakua unafuatilia maswala ya teknolojia utagundua kua kila teknolojia inayoanzishwa duniani hua ni katika kutafuta nyenzo mbalimbali za kuwezesha nchi fulani kuwa mbali kijeshi, Uvumbuzi wa Computer ulitoka jeshini. Ili askari waweze kuwasiliana kutoka kambi moja na nyingine inabidi vifaa viwepo kurahisisha mawasiliano.

Hivyo kutokana na hilo wanasayani wamekua wanaumiza vichwa ili kufanikisha majeshi ya nchi zao kua na vifaa madhubuti ili kulinda mataifa yao, hapo ndipo computer na vifaa vingine vimevumbuliwa…John McCarthy alikua ni mwanajeshi wa jeshi la marekani. So atleast gunduzi nyigi zimetokana na uwepo wa majeshi na kila teknolojia lazima itumiwe jeshini huko au idara za ujasusi. Zingine tunaletewa huku kwa matumizi ya kawaida zingine wanabaki nazo. Eg. Time travelling.

Huko juu tumeona kua Artificial Inteligence can be intergrated or linked anywhere. Mtu anaweza kua na kifaa kama miwani,saa halafu vifaa hivo vinakua vipo intergrated na AI, so anakua anatoa comand kisha AI inakua inampatia feedback kutokana na access iliyopewa kufikia taarifa fulani.

Marekani kuna kitu kinaitwa Global Information Grid(GIG), hii ni project iliyotengenezwa na Idara ya Usalama wa Marekani (United States Department of Defense). Project hii imekusanya taarifa zooote nyeti na zisizo nyeti kutoka kona mbalimbali ya dunia.

Hii GIG inaongozwa na kitengo kinaitwa NetOps, hiki kitengo kinaongoza majukumu ya vitengo vitatu vikuu ambavyo ni situational Awareness, command and Control na global Information Grid. NetOps inafanya kazi ya kuendesha kulinda na kuhakikisha taarifa zote zinazoingizwa kwenye GIG ni sahihi.

Hivyo basi wana kila taarifa ya mtu mmoja mmoja ilimradi taarifa zako ziwe zipo serikalini kama hivi huku kwetu tunavyopeleka taarifa zetu NIDA…turudi kwenye Artificial Intelligence.Mwanadamu wa kawaida anaweza kuwekewa AI chip ndani yamwili wa mwandamu then ikawa inafanya kazi pamoja na ubongo, hili linaelezewa kwenye Artificial Neural Networks (ANNs) na Neurolink..kuna mambo mengi sana upande huu yanaeleza how IA can intergrated into human body.

Sasa basi labda jasusi wa CIA anaweza kuwa amewekewa chip ya AI ndani ya mwili wake, chip hiyo ya Artificial intelligence kama ina access ya Global information Grid jasusi/askari huyo anaweza kua anapata taarifa zote kwa muda mfupi.

Yaani anaweza kuwa online kama smartphone ya internet, anaweza kuangali mtu au picha ya kitu akapata taarifa zote zinazohusu kitu hicho ilimradi taarifa za kitu hicho kiwe kwenye GIG. Anaweza kuona hadi taarifa zako z benki, background yako yote..sio kwamba anakua naviona ndani ya TV bali anaviona ndani ya ubongo wake.

Anaweza kupiga simu hata kwa kichwa, anaweza communicate na Setilite kupata taarifa fulani, ilimradi chip aliyowekewa ina access ya mambo yote hayo. Kiufupi mtu huyo anakua kama Computer,Computer yenye internet anaweza hata kufyatua mizinga ya bomu kwa kutumia kichwa.

Nchi nyingi za dunia ya kwanza wanatengeneza siraha ambazo zitakua zinajiongoza zenyewe kwa kutumia Artificial Intelligence. Wao wanaita Artificially Intelligent weapon system, yaani siraha zenyewe zinajiongoza…Kama nchi za USA,Russia,India,Pakistan,China,German,Iran,Uk nk zina mifumo ya siraha ambayo imeshategeshwa tayari muda wote siraha ziko tayari na zinajiongoza kwa kutumia AI.

Mfano kama Russia ikipigana vita na USA halafu labda Russia ikapigwa kabisa basi ina ipo mifumo amabayo italipua mabomu ya atom kuelekea USA na kuisambaratisha nchi nzima wakose wote.
Nchi hizo kila nchi imeelekeza mifumo yake kuelekea kwenye nchi amabayo wanaona ni tishio kwao mfano India imeelekeza Pakistan, USA imeelekeza Rusia,Israel imeelekeza kuelekea nchi za uarabuni.

Inasemekana zaidi ya wataalamu na wanasayansi/watafiti 1000 wakiwemo Stephin Hawking,Elon Musk,Steve Wozinak,John McCarthy wamesaini barua ya wazi wakitaka mamlaka za dunia zizuwie matumizi ya AI weapons system.

Artificial Intelligence ina matumizi mengi mengi karibia kwa kila aspect ya maisaha ya mwanadamu. Inaweza tumika vibaya au vizuri..usidanganywe sijui ni habari za kumleta sijui shetani au nani.

View attachment 1311577
The End..
Da’Vinci..
El maestro
Nzuri
 
Mungu alipotuumba alitupa nafsi yake ya uhai yenye uungu ndani yake. Hivyo ndio maana nasi tunaweza kuunda vitu. Hivyo sishangai watu kuweza kufikia such technology.

Mkuu mimi in other hand ni mfuasi wa Imani ya Five Percent. Waifahamu? Kuniita mm ni devil minion n moron aint a thing to me. Niite uwezavyo Sir
So this is your faith?👉Five-Percent Nation - Wikipedia

Kama ndio imani yako hii,no wonder unaishabikia AI kishabiki bila facts.Da'Vinci naomba niseme bila kumung'unya maneno,the faith is Satanic,I am sorry.Infact even the name Da'Vinci has demonic roots.Anyway ndio njia uliyochagua,good luck.
 
Hakuna anaekataa matumizi ya AI kwani ni sayansi ambayo haikwepeki kwa sasa.

Suala ni kuhakikisha AI yaundiwa framework, iwe regulated na ifuate ethics katika matumizi yake.

Kwani hadi sasa AI imeanza kutumiwa vibaya au kwa kutofahamu au kwa makusudi nchi nyingi zimekurupuka kununua AI programs bila kufahamu undani wake na kusababisha sintofahamu na masuali miongoni mwa raia.

Kama nilivyosema huko juu AI sasa yatumika maeneo mengi viwandani, mahospitalini, jeshini na sasa wanafunzi wa vyuo vikuu wamegundulika tumia GPT chart kufanya coursework ambayo yasababisha ugumu katika marking.

Mfano mwingine ni matumizi ya AI katika utambuzi wa watu kupitia program za facial recognition ambayo yasababisha watu kuwa "profiled" kwa maisha yao yote jambo ambalo ni kinyume na "ethics" na uhuru wa faragha.

AI ikifanya facial recognition huweza pia |(kwa bahati mbaya) kuwahusisha watu waso na hatia hivyo kukiuka misingi ya ethics na faragha, kwani nyuso za watu huwa ni mali ya AI.

Pia matumizi ya AI sasa hivi yamefikia hadi uwanja wa vita nchini Ukraine ambapo kampuni kama ya Clearview ina wateja katika nchi mbalimbali duniani ambazo zatumia AI kujaza kanzidata zao kwa mamilioni ya mapicha.

Hivyo AI ina faida zake lakini hasara ni kubwa zaidi kutokana na kuwa huenda data za watu zikaangukia kwa mikono ya wahalifu.

Ndo maana nchi wahusika na watengenezaji wa programs za AI khasa nchi za EU na US sasa hivi wapo kutengeneza "code of conduct" ili kuweka sawa masuala ya uwajibikaji.

Nimeshangaa juzijuzi kusikia mpango wa serikali ya Tanzania kupitia wizara ya mambo ya ndani kukubali kushirikiana na taasisi ya Belinda Gates kutaka kutengeneza vitambulisdhio vya taifa ambavyo ni Universial yaani viwe vyabeba kila taarifa ya mwenye nacho.

Hivyo kwanza ni hatari usalama wa taifa kushirikisha taasisi za nje kufahamu taarifa za kibaolojia (Biometric data) ambazo zitapelekea wabeba vitambulisho kuwa chini ya "biometric surveiilance" programs bila kufahamu.

Pili, ni usalama wa kanzidata yenyewe kwamba kuna uhakika upi wa usalama wa taarifa za wabeba vitambulisho kutoka matishio kama ya udukuaji na uharibifu wa mitandao.

Hivyo AI ina faida zake katika kuboresha mazingira na ufanisi wa kazi, lakini hasara na matatizo yake bado ni mengi na makubwa.
 
So this is your faith?👉Five-Percent Nation - Wikipedia

Kama ndio imani yako hii,no wonder unaishabikia AI kishabiki bila facts.Da'Vinci naomba niseme bila kumung'unya maneno,the faith is Satanic,I am sorry.Infact even the name Da'Vinci has demonic roots.Anyway ndio njia uliyochagua,good luck.
Mkuu imani ni kitu complex hivyo inabidi umuache mtu aamini kile aaminicho bila kumbeza
 
Yeah,ndio maana nimesema "good luck." sijakubeza per se.Ila huoni kwamba imani hiyo is a man's creation,and has nothing to do with the true God,but with a created being,and that is Satan.To me Da'Vinci it would be wise to worship the Creator rather than the created being!In the Book of Romans 1:25 we read,
"25 Who changed the truth of God into a lie, and worshipped and served the creature more than the Creator, who is blessed for ever. Amen."

What does this verse mean.It means that you have changed the truth of God,and you are worshipping a created being,rather than the Creator.So what happens to you and such people according to God,see below in Romans 1:26-32

"26 For this cause God gave them up unto vile affections: for even their women did change the natural use into that which is against nature:
27 And likewise also the men, leaving the natural use of the woman, burned in their lust one toward another; men with men working that which is unseemly, and receiving in themselves that recompence of their error which was meet.
28 And even as they did not like to retain God in their knowledge, God gave them over to a reprobate mind, to do those things which are not convenient;
29 Being filled with all unrighteousness, fornication, wickedness, covetousness, maliciousness; full of envy, murder, debate, deceit, malignity; whisperers,
30 Backbiters, haters of God, despiteful, proud, boasters, inventors of evil things, disobedient to parents,
31 Without understanding, covenantbreakers, without natural affection, implacable, unmerciful:
32 Who knowing the judgment of God, that they which commit such things are worthy of death, not only do the same, but have pleasure in them that do them."

I believe this is what has happened to you Da'Vinci and others like you because God is not human that He may lie,so this must be true.

But Da'Vinci let me tell you this,yes you have strayed away from God.But the door of grace is still open.If you come back to Him,repent and turn from your evil ways,He will forgive you.God is so loving and merciful.Please decide to come back to your Creator today.He is extending His loving hands waiting to invite you back home once more.
 
View attachment 1311559
Salute..
Maisha yanakwenda kwa kasi mno mengi hayawezekani hayapo wenzetu huko wanakesha kutuonyesha jinsi kila kitu kinawezekana kama ukiwa na nia thabiti na mipango. Huko duniani kuna vitu vinaitwa Futurist na Futurology, Futurist ni watu wanaojihusisha na mambo ya Futurology. Futurology inafahamika kama Future studies (masomo yanayohusu mambo ya baadae), Ni masomo yanoyohusu ku-predict mambo mbalimbali yajayo kwa kufanya tafiti kuangalia mambo yaliyopo sasa hivi na kutabiri mambo yajayo.

Futurist wanapredict mambo yajayo kwa kuangalia siasa za dunia,teknolojia ya mwanadamu, intelligence ya mwandamu, Ustaarabu wa mwanadamu, uchumi,nk nk na kutabiri kua miaka kadhaa ijayo kutakua na hiki au kile.

Kwa mfano Futurist wanaelezea jinsi labda maisha ya ya mwanadamu dunia baada ya miaka 20, 30, 50 ijayo yatakua ni maisha yatakayokua yame Advance zaidi. Tutakua tunaishi katika Smart World hivyo binaadamu anaweza kusafiri less than 30 min kutoka bara moja kwenda lingine, Binaadamu anaweza kuanaanza kutumia teknolojia ya Artificial Intelligence At large, kilimo, Elimu, teknolojia vitaboreshwa, Dini zinaweza kua zimeungana nyingi kurudi kwenye shina kuu (Hasa ukristo)

Hapa tutaangalia Sayansi (Fizikia, Biolojia, hesabu) inaendea kubadili mfumo wa utendaji wa shughuli za kila siku za mwanadamu na kuzifanya ziwe rahisi zaidi. Miaka 20 tukijaliwa uhai tutaona dunia nyingine kabisa iliyopiga hauta katika mambo mbalimbali huku Teknolojia ya Artificial Intelligence ikiwa nyuma ya mabadiriko yote hayo..Always remember mwanadamu anafanya kila njia kua Achieve maisha yasiyo na kifo kwa ghalama yoyote ile.

View attachment 1311562
Genesis
Tarehe 4 September 1927 Boston Massachusetts alizaliwa mtoto kutoka familia ya wahamiaji kutoka Ireland ya bwana John patrick na mkewe Ida McCarthy ambao walikua ni wayahudi, mtoto huyo aliitwa John McCarthy. John McCarthy akiwa mdogo aligundulika kuwa ni mtu mtoto mwenye uwezo mkubwa wa akili hasa zaidi upande wa masomo ya Hisabati, akiwa kijana mdogo yupo shule alikua anajifundishi yeye mwenyewe hesabu za vyuoni kwa kutumia vitabu. Mwaka 1951 alihitimu PHD ya hisabati kutoka chuo cha Princeton University. Alijikita zaidi kwenye masuala ya sayansi ya Computer.

Mwanzoni wa Miaka ya 1950 kulikua na majina mbalimbali amabayo walikua wanayatumia kuita mashine ambazo zina uwezo wa kufikiria, kulikua na majina kama Cybernetics,automata theory, complex information processing nk. Mwaka 1955 McCarthy akiwa ni profesa msaidizi wa hisabati katika chuo cha Dortmouth aliunda kundi ili kuthibitisha na kuendeleza theories zinazohusu mashine zenye uwezo wa kufikiria(thinking machine).

Upande wake alichagua jina la kuita hizo thinking machine ambalo ni Artificial Intelligence. Mwanzoni mwa mwaka 1955 McCarthy alienda kuomba ufadhili wa kifedha ili kuendesha seminar aliyokua amepanga ifanyike kipindi cha wakati wa joto yeye pamoja na wanasayansi 10. McCarthy alienda kuomba msaada huo kwenye Rockefeller Foundation inayomilikiwa na familia tajiri zaidi duniani ya Rockefeller Familly, walifadhiliwa. Semina/mkutano huo unaitwa Dortmouth Conference, ulidumu kwa muda wa wiki 8. Ndani ya mkutano huu ndio kukazaliwa rasmi Artificial Intelligence huku John McCarthy akiwa kama ndio founder wa project hii.

Artificial Intelligence ni nini?
Artificial Intelligence (AI)
ni software ambayo iliyotengenezwa kua na uwezo kama binaadamu, inaweza kufikiria, kupanga kitu, kujifundisha/kusoma kutenda kitu na kuweza kufahamu lugha zetu wanadamu. AI imegawanyika sehemu kuu mbili ambazo ni Weak/Specilized/Narrow Artificial Intelligence na Strong/Generalized/Specialized Artificial Intelligence.

●Weak Artificial Intelligence.
Ni aina ya AI ambayo imeundwa kufanya kazi fulani tuo (specific task). Haiwezi kufanya kazi nje ya kile kitu ilichoamuliwa kufanya, lakini inaweza kujifunza pia juu ya kitu hicho ilichoamuliwa kufanya.....ndio maana inaitwa Specializeed pia.

Mfano mzuri wa Weak AI ni Siri na Alexa, hizi ni Intelligence Virtual Assistance au intelligence personal Assistance ambazo zinatumia sauti katika kuwasiliana na mtumiaji. Siri inapatikana kwenye vifaa vya Apple na Allexa inapatikana Amzon.

Siri na Alexa ni mfano mzuri wa weak au Specialized Artificial Intelligence maana japo hizi AI zinaonekana kuwasiliana na kufikiri kama binaadamu pindi zinapoulizwa swali au kufanya kazi fulani, majibu yanayotolewa na siri au alexa yapo progammeda pia kabla ya siri au alexa kutoa majibu ya ilichoulzwa hua inakagua kwanza ni aina ipi ya jibu litakalofaa kutoka kwenye bank/akiba yao ya majibu/responces mbalimbali.

Kiuhalisia siri au alexa hua hafahamu alichoulizwa ila hua inachukua zile keyword unazotamka kisha inaenda kuzifananisha katika bank ya majibu iliyonayo. Baadhi ya mifano mingine ya weak Artifiacial Intelligence ni magari yenye uwezo wa kujiendesha,netflix, fraud detector, Email filters,Facebook newsfeed, google Assistance nk

●Strong Artificial Intelligence.
Hii ni aina ya AI ambayo hufanya kazi zake bila kusimamiwa na hufanya kazi nyingi (unspecified task). Ni aina ya AI ambayo inaweza kujifunza yenyewe vitu vipya. Mfano unapokua unacheza video game na computer technically unakua unacheza na strong AI, inaweza kujifundisha jinsi ya kukwepa mitego yako,inaweza kukusoma unavyocheza na kubuni njia za kukukwepa. Hapa kwenye Strong AI ndio lengo kuu ya mada hii.
View attachment 1311573

Kuwepo kwa strong AI wanasayansi wametengeneza vitu mbalimbali ambavyo vinatumia AI, wametengeneza maroboti yenye uwezo wa kufikiri nakutenda kama binaadamu mfano kuna yule robot aliyepewa uraia wa Saudi Arabia anaitwa Sophia, kuna robot mwingine anaitwa QT-1 ambae yupo kwenye chombo cha anga huko juu anafanaya kazi ya kuongoza robot wenzake.

Makampuni mengi yanatengeneza maroboti mengi kutokana na matumizi ya shughuli mbalimbali. Inakadiriwa miaka 5 ijayo robots zitachukua nafasi nyingi za kazi. Sex robots zote ni Strong AI..Elon musk kawekeza sana kutengeneza vifaa vyenye teknolojia ya Artificial Intelligence

Pia Artificial Intelligence inaweza kua programed ikawekwa ndani ya Computer au mashine yoyote halafu wewe ukawa unatoa command halafu yenyewe inafanya kazi. Nadhani humu wengi tutakua tumeina muvi za Avangers, iron man zote 3, Captain America, spiderman homecoming na far from home. Ndani ya muvi hizo kuna Artificial Intelligence inaitwa F.R.I.D.A.Y na J.A.R.V.I.S, hizi ni baadhi ya AIambazo nazizungumzia hapa. Zinaweza kujifunza chochote na kutenda na kujibu chochcote. Unakua unazipa command zenyewe zinatenda lolote kutokana na jinsi ulivyozipa access.

Kubwa zaidi inasemekana AI inaweza kupandikizwa ndani ya mwili wa mawanadamu na kua intergrated with brain..Mwanzo huko juu niligusia kua John McCarthy alienda kuomba ufadhili wa mkutano wake uliozalisha hii Artificial Intelligence, nkasema kua alienda kuomba ufadhili kwenye Rockefeller foundation. Hivyo basi unaweza kuona kwa jicho la tatu kua AI ipo chini ya Rockefeller Family, Wazee wa conspiracy theories wanasema kua rockefeller family ni moja kati ya familia 13 tajiri za Illuminat (wanao andaa ujo wa mpinga kristo).

Kama mtakua mnakumbuka miaka ya 2011/2012 kuliibuka mashekhe na manabii uchwara mabao wao kila kitu walikua wanakihusisha na illuminti/Freemason huku wakisema kua eti wazungu wanataka watuwekee kitu ndani ya miili yetu ili kiwe kinatuocontrol. Wapuuzi wale walikua wanazungumzia Artificial Intelligence bila kua na uelewa wowote maana kuna uhusiano mkubwa kati ya kua Shekhe au nabii uchwara na ujinga…Then aint big deal, tuendelee na mada yetu.

Artificial Intelligence licha ya kutumiwa kwenye vifaa vya kiteknolojia na maroboti lakini pia inaweza kuwa intergrated na ubongo wa wanadamu, kwa waliosoma Neurology wanaweza kuelezea vizuri..Mtu anaweza kuwekewa chip ya AI kwa matumizi mbalimbali kutokana na yeye anataka nini. Lakini hili nadhani linatumiwa zaidi katika masuala ya ulinzi na ujasusi.

Turing Test.
Mika ya 1950 Mwanahisabati kutoka England aitwae Alan M.Turing alianzisha kipimo cha kupima kama kweli mashine/computer zinaweza kufikiri kama mwanadamu. Kipimo hicho kiliitwa Turing test, kipimo hicho pia kilitabiri kua mpaka miaka ya 2000 computer zinazotumia Artificial Intelligence zitakua haziwezi kutofautishwa na binaadamu kama mwanadamu na computer hiyo wakifanyiwa mahojiano.

View attachment 1311575
Matumizi ya Artificial Intelligence Jeshini.
Kama utakua unafuatilia maswala ya teknolojia utagundua kua kila teknolojia inayoanzishwa duniani hua ni katika kutafuta nyenzo mbalimbali za kuwezesha nchi fulani kuwa mbali kijeshi, Uvumbuzi wa Computer ulitoka jeshini. Ili askari waweze kuwasiliana kutoka kambi moja na nyingine inabidi vifaa viwepo kurahisisha mawasiliano.

Hivyo kutokana na hilo wanasayani wamekua wanaumiza vichwa ili kufanikisha majeshi ya nchi zao kua na vifaa madhubuti ili kulinda mataifa yao, hapo ndipo computer na vifaa vingine vimevumbuliwa…John McCarthy alikua ni mwanajeshi wa jeshi la marekani. So atleast gunduzi nyigi zimetokana na uwepo wa majeshi na kila teknolojia lazima itumiwe jeshini huko au idara za ujasusi. Zingine tunaletewa huku kwa matumizi ya kawaida zingine wanabaki nazo. Eg. Time travelling.

Huko juu tumeona kua Artificial Inteligence can be intergrated or linked anywhere. Mtu anaweza kua na kifaa kama miwani,saa halafu vifaa hivo vinakua vipo intergrated na AI, so anakua anatoa comand kisha AI inakua inampatia feedback kutokana na access iliyopewa kufikia taarifa fulani.

Marekani kuna kitu kinaitwa Global Information Grid(GIG), hii ni project iliyotengenezwa na Idara ya Usalama wa Marekani (United States Department of Defense). Project hii imekusanya taarifa zooote nyeti na zisizo nyeti kutoka kona mbalimbali ya dunia.

Hii GIG inaongozwa na kitengo kinaitwa NetOps, hiki kitengo kinaongoza majukumu ya vitengo vitatu vikuu ambavyo ni situational Awareness, command and Control na global Information Grid. NetOps inafanya kazi ya kuendesha kulinda na kuhakikisha taarifa zote zinazoingizwa kwenye GIG ni sahihi.

Hivyo basi wana kila taarifa ya mtu mmoja mmoja ilimradi taarifa zako ziwe zipo serikalini kama hivi huku kwetu tunavyopeleka taarifa zetu NIDA…turudi kwenye Artificial Intelligence.Mwanadamu wa kawaida anaweza kuwekewa AI chip ndani yamwili wa mwandamu then ikawa inafanya kazi pamoja na ubongo, hili linaelezewa kwenye Artificial Neural Networks (ANNs) na Neurolink..kuna mambo mengi sana upande huu yanaeleza how IA can intergrated into human body.

Sasa basi labda jasusi wa CIA anaweza kuwa amewekewa chip ya AI ndani ya mwili wake, chip hiyo ya Artificial intelligence kama ina access ya Global information Grid jasusi/askari huyo anaweza kua anapata taarifa zote kwa muda mfupi.

Yaani anaweza kuwa online kama smartphone ya internet, anaweza kuangali mtu au picha ya kitu akapata taarifa zote zinazohusu kitu hicho ilimradi taarifa za kitu hicho kiwe kwenye GIG. Anaweza kuona hadi taarifa zako z benki, background yako yote..sio kwamba anakua naviona ndani ya TV bali anaviona ndani ya ubongo wake.

Anaweza kupiga simu hata kwa kichwa, anaweza communicate na Setilite kupata taarifa fulani, ilimradi chip aliyowekewa ina access ya mambo yote hayo. Kiufupi mtu huyo anakua kama Computer,Computer yenye internet anaweza hata kufyatua mizinga ya bomu kwa kutumia kichwa.

Nchi nyingi za dunia ya kwanza wanatengeneza siraha ambazo zitakua zinajiongoza zenyewe kwa kutumia Artificial Intelligence. Wao wanaita Artificially Intelligent weapon system, yaani siraha zenyewe zinajiongoza…Kama nchi za USA,Russia,India,Pakistan,China,German,Iran,Uk nk zina mifumo ya siraha ambayo imeshategeshwa tayari muda wote siraha ziko tayari na zinajiongoza kwa kutumia AI.

Mfano kama Russia ikipigana vita na USA halafu labda Russia ikapigwa kabisa basi ina ipo mifumo amabayo italipua mabomu ya atom kuelekea USA na kuisambaratisha nchi nzima wakose wote.
Nchi hizo kila nchi imeelekeza mifumo yake kuelekea kwenye nchi amabayo wanaona ni tishio kwao mfano India imeelekeza Pakistan, USA imeelekeza Rusia,Israel imeelekeza kuelekea nchi za uarabuni.

Inasemekana zaidi ya wataalamu na wanasayansi/watafiti 1000 wakiwemo Stephin Hawking,Elon Musk,Steve Wozinak,John McCarthy wamesaini barua ya wazi wakitaka mamlaka za dunia zizuwie matumizi ya AI weapons system.

Artificial Intelligence ina matumizi mengi mengi karibia kwa kila aspect ya maisaha ya mwanadamu. Inaweza tumika vibaya au vizuri..usidanganywe sijui ni habari za kumleta sijui shetani au nani.

View attachment 1311577
The End..
Da’Vinci..
El maestro
End of the world
 
Science ni nzuri na mafundi walio wengi watapenda kuinstall na ku run system zilizo incoporated na AI maana zinaweza kuwa na accuracy inayokaribia 100% labda ukakuta degree of error ikawa +/- 0.0001..Lakini habari ya kui incorporate kwenye mwili wangu hio haipo hata kidogo na sitakubali..Na kama nitabakia sina chaguo nitamwomba Mungu aniwahishe kaburini tu..Bora niwe mshamba kabisa kuliko kuingiza vichip kwenye mwili wangu kama mwanamke anaezuia mimba...Pia nimeona wanawake waliowekewa vile vizuia mimba vya mikononi wanableed hadi wiki tatu sijui ni science gani iliotengeneza hivyo vitaka taka.Wanawake wanapumzika kubleed wiki mbili tu kubleed.Sasa labda huko tuendako Artificial intelligence itatuletea mambo mengi sana hasa wale wanaoanzaga kuwa panya wa majaribio kama kwenye covid.
 
Unachekesha kweli dogo.

Okay let me take u back tulipoanzia.

Mwanzo nmekuquote ulisema "AI ina faida nyingi kuliko hasara" na ndipo concern yangu ilipo kwenye hio line

Nikaja kukuquote nikimaanisha AI ina madhara kuliko unavyodhan sababu probably upo nje ya game lenyewe na nikakupa mfano kwamba elon, woz na wengine wameshaandika na kusain barua ambayo imelenga kuzuia maboresho zaidi kwenye AI, na ndani ya hio barua GPT3 na GPT4 ni moja za topics, mmm nikachagua kutolea mfano.

Sasa wewe ukaja tena unaniquote unasema hio barua umeshaiona na umeisoma so unaandika unachokijua.

Baadae tena unaanza kuongea uchwara tu ndo maana kufupisha story nikakwambia kwamba hatukuelewana toka mwanzo uliponiquote, hukuelewa naongelea barua gani wewe ukadakia juujuu bila kuelewa hio barua na dhumuni la mm kuiingiza kwenye comment yangu.

Yote hayo ni kwa sababu husomi vitu ukaelewa, unakurupuka tu uonekane smart. Sasa hadi hapo mm na wewe nani analeta ujuaji? Ungekua na akili ungeishia hapohapo niliposema hukunielewa toka ulivyoquote comment yangu ya kwanza

Usiforce sana kuonekana smart dogo, bandiko zako nyingi kuhusu tech humu ni uchwara tu nasomaga nacheka, endelea kuandika khs movies haya mambo waachie wataalam wake
Elon Musk gani aliyesaini paper sijui ya kuzuia sijui Nini, si Elon Musk huyu aliye mstari wa mbele kwenye AI na juzi tu katoka kutambulisha AI yake inayofanana na GTP itakayopatika a kwenye mtandao wake wa X.

Si Elon huyu mwenye kampuni kabisa iliyo base kwenye AI ya ku-integrate ubongo na computer nk

Elon gani unayemzungumzia mzee na kupi Cha kuifanya AI kuwa mbaya naona tatizo akili zenu zikisikia neno AI linawaza Movie za Terminator na Cyborg tu munasau AI tumetumia kitambo hata Automation Ni AI powered na zinatumika kuzalisha bidhaa mbalimbali tunazotumia kilasiku

Naona wewe ndio unajifanya mjuaji hapa kuwa Developer haikufanyi kujua kilakitu mzee haitaji uwe developer ili kujia kuhusu Tech things including AI.
 
Teknolojia zimeongeza umri wa binadamu kuishi, Wastani wa umri wa binadamu kuishi karne ya kwanza ilikuwa ni miaka 35, Leo hii Wastani binadamu kuishi ni miaka 70.
Bahati mbaya sana, teknolojia zinapunguza umri wa mwanadamu kuishi.

Pia nadhani huko mbele tutakuwa na kizazi cha binadamu wenye maumbile na sifa za ajabu ajabu kweli. Immortal Robotic Humans? Sijui.

Halafu ni kama tutaingia kwenye mfumo hatari zaidi hasa tutakapoanza kuwa intergrated na mifumo ya kompyuta. Imagine umeungwa chip kwenye ubongo halafu kuna mtu somewhere ana full control na access ya kukufanya chochote in his fingertips; si anaweza kubonyeza tu buton ukapiga shoti ukufe?

Yajayo yanafurahisha kweli kweli!
 
Back
Top Bottom