A Journey to the smart world: Ifahamu teknolojia ya Artificial Intelligence na utendaji wake wa kazi

Watengenezewe miji yao kisha wawaache humo.
 
Je unaweza kutupa facts zinazoonyesha impossibility ya Time travelling
U need the facts, m gonna give u the facts..

1. Time traveling means being able to move back and forth through time, hivyo utakubaliana na mimi kwamba kama back time travel ingekua possible in the future leo hii tungekua tushapokea wageni from the future[emoji1][emoji1][emoji1] but we haven't which means time travel is not only impossible today hata kesho pia.

2. (Past & present)= cause, (Future)= outcome. Hakuna outcome isiyo na cause, ukitaka upotee leo alafu utokee miaka 1000 ijayo huko u'll have no cause na huwezi kuexist.
The only way this is physically possible labda ( ignoring biology) ufe leo mwili wako utuzwe alafu ufufuke after 1000 yrs [emoji1][emoji1][emoji1] in your perspective utakua umetravel miaka 1000 with just a single aye blink. Hapo sasa utakua na cause na utaweza kuexist.

3. Pia ukisoma theories zote zinazotatua time travel zina madhaifu. Ts just that wanasayansi wamededicate maisha yao yote kutafuta soln, hivyo ni aibu kuadmit kwamba haiwezekani.[emoji1][emoji1]
Mtu katumia almost miaka 60+ (na pesa pia) kutafuta jawabu alafu leo akwambie kirahisi tu kwamba haiwezekani [emoji1][emoji1]
 
Kwenye nchi zilizoendelea AI imesaidia kuboresha huduma kwa wateja na kujenga mawasiliano na wateja khasa katika mabenki.

AI CRM (customer relationshiop management system) kwa mfano huweza kuweka ukaribu wa benki na mteja kwa kuweka huduma ndani ya huduma ili kumwezesha mteja kuwa na uhuru wa kuchagua huduma ingine pale anapoona inafaa.

Kwa wale wanaomkumbuka Garry Kasparov mwaka 1997 alishindwa na Deep blue mfumo wa computer uliobuniwa kushindana nae kwenye mchezo wa Chess.
 
Kuna AI nyingine ilivunja record miaka ya hivi karibuni kwa kuwashinda kucheza game. Hivi binaadamu anaweza tengeneza kitu kitakachomshinda yeye akili...?

Kwenye sekta ya Afya AI inawasaidia madaktari kwa mfano kwenye kutafuta dawa madhubuti ya ugonjwa wa saratani.

Kwasababu dawa ni nyingi sana zimetengenezwa kiasi cha kuwachanganya madaktari kwenye kuchagua dawa stahiki.

Microsoft ndo wanabuni program ya AI iitwayo Havover ambayo itakusanya taarifa zote zinazohusiana na kutibu Saratani kisha kutoa dawa sahihi kwa ugonjwa huo.

Hivyo badala ya madaktari kuendelea kukuna vichwa tayari AI imewazidi maarifa na kutoa jibu la dawa.

Hivyo hapo tayati mambo kama kuokoa muda wa matibabu au kupunguza idadi ya wale wanaosubiri wanaotibiwa inakuwa ni kazi ya AI.
 
.wazazi himizeni watoto wenu wasome masomo ya fizikia na maths..Computer science ndio imeshikiria usukani wa maendeleo ya dunia. Piga makonzi sana mwanao kama anapenda vishazi

labda wakasome nje: uku bado kilimo ndo uti wa mgongo na watu hawataki kuhama ila wanataka maendeleo, kwa kweli sisi ni wa kuonea huruma sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…