A Journey to the smart world: Ifahamu teknolojia ya Artificial Intelligence na utendaji wake wa kazi

A Journey to the smart world: Ifahamu teknolojia ya Artificial Intelligence na utendaji wake wa kazi

Tunahitaji kuitangaza elimu yetu ni janga la kitaifa - ukweli mchungu.
Beside that ni crusaders who can save hii cheap/outdated education.
Imi nashindwa kuelewa hv serikali yetu haioni kua elimu yaetu ni hovyo au sisi ndio tunaona pekee
 
ila kati ya sekta ambazo zitaoa mabilionea wengi hii itakua kwenye top 10: kuna kitu kinaitwa task oriented ni term mpya though watu wengi wapo familiar na object oriented, watu wa AI wana opportunity kubwa sana kupiga pesa, ni kama games zilivokua zinaanza
 
Imi nashindwa kuelewa hv serikali yetu haioni kua elimu yaetu ni hovyo au sisi ndio tunaona pekee

Nafikiri kinachotakiwa ni maboresho na hiyo unayosema ya kukazania kutafuta wanafunzi wachache ambao ndio wanakuwa pioneers kwa maendeleo ya sayasi na teknolojia.

Kwa mfano kwenye hatua ya shule za msingi kwatakiwa kuwe na track record ya kila mwalimu ambapo anaangaliwa performance yake ya ufundishaji,

Pili, zile taarifa za matokeo ya wanafunzi zinatakiwa zijadiliwe kwa "one to one" kati ya mwalimu na mzazi.

Walimu wakuu wawe ni wenye uwezo mkubwa sana wa kufanya mapinduzi katika shule zao maana saa hii elimu ni bure.

Je, zile shule zinazokuwa nyuma kwenye matokeo ya darasa la saba hadi form six zinafuatiliwa vipi kwa ukaribu?

Je, wakaguzi wa elimu ya msingi au sekondari wapo kwenye viwango vinavyohitajika au wanapokea tu mishahara mwisho wa mwezi?

Its a challenge ambayo ni lazima kuikabili kama taifa.
 
Mkuu seem like upo deep sana kwenye sekta hii ya AI hasa jinsi inavyofanya kazi kwenye maisha halisi.
Endelea kutujuza mkuu..
AI si uliona zinavyoonyeshwa kwenye Terminator..

Mimi khasa eneo langu ni mshauri elekezi kwa ngazi ya kati.

Waweza kunifananisha na Coffee Buyer au Quantity Surveyor.

Ila mimi sio programmer.

🙂🙂
 
Hii thread itakuwa poa kama watakuja computer engineer tu discuss nasema hivyo kwa sababu kuna watu hivi vitu hawavijui wanalopoka tu humu inafahamika wazi kuwa brain ya hz compiter tunazotumia sasa ni processor ambayo inaweza kufanya hesabu tu kujumlisha kutoa kugawanya na kuzidisha kupitia transitors.

Na hapo ndipo basis ya computer ilipo hizo software zengine zote mpaka internet ni code ambazo zimeandikwa na binadamu kupitia programming languages c and c÷÷ ambazo hutumia assembler na compiler kutafsiri code to machine language.

Sasa hio artifical intelligence inatumia nini? Tunahitaji kujua chini kuna nini mimi nahisi kuna mpango unasukwa kuunganisha uchawi na technology hivi vitu viiungana nakuhakikishia time travel na mambo ya immortal yataeezekana in just a mounth.
 
Shida ni kwamba RENATUS GODIAN, Hao computer engineer wa bongo ni vilaza walio kalilishwa tu kubonyeza bonyeza lakin hawaelewi chochote

Ndo maana wanachungulia na kusepa wala hawachangii chochote

Kwahiyo nakushaul kaa pemben acha watu wenye bongo zao washushe nondo ili nasi vilaza japo tupate kitu/ vitu vya kudanganyia mitain ili kuonyesha umwamba wetu
 
mazojms, Mkuu intime, patience na right technology inaweza wezekana, kila kitu ni energy.
Kwenye uhalisia universe is made of balance nikimanisha positive and negative kwa time ni clockwise and anticlockwise with right tech we could explore these two.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom