Katika siku nime kutana na mada nzuri ni leo nimekumbuka matumimizi ya 3D PRINTER ndo haya mambo sasa pamojana haya yote mataifa ya dunia ya kwanza yalisha fika huku muda sana mataifa ya dunia ya tatu bado sana fikiria PROJECT za siri zinazo fanywa na mataifa haya pia utengenezaji wa magari yasiyo na dereva,ndege zinazo jiongoza, fikiria VACCUM TAILWAY inayo tegemewa kuanza kazi mwaka huu kwakweli dunia inaenda kasi sana.