maganjwa
JF-Expert Member
- Sep 11, 2012
- 2,800
- 2,339
yaani mimi ninawaza kama dunia yetu iko kwenye mfumo wa sayari tisa sijui nane na jua iko kati na jua letu ni nyota. je nyota tunazoona kila moja ina mfumo wake wa sayari?Naamini duniani tumefungwa ufahamu wa kifikra yapo mambo mengi tunayaona lkn hayapo jinsi yalivyo bado dunia inamambo ya kujifunza wapo viumbe ktk sayari. Nyngn wanatuchora sisi binadamu wametuacha mbali ki technology mf. Speed ya mwanga ndio inanguvu ya mwendo kuliko chochote duniani lkn nje ya box kuna vitu vinaspeed Mara mia zaidi ya mwanga ila acha technology izidi kukua
Na kwani nini isiwe na sayari zake akili zangu inanituma zote zina sayari zake na kuna maisha vile vile kama sisi sayansi ni tamu sana ina inataka a smart brain