A Journey to the smart world: Ifahamu teknolojia ya Artificial Intelligence na utendaji wake wa kazi

A Journey to the smart world: Ifahamu teknolojia ya Artificial Intelligence na utendaji wake wa kazi

Naamini duniani tumefungwa ufahamu wa kifikra yapo mambo mengi tunayaona lkn hayapo jinsi yalivyo bado dunia inamambo ya kujifunza wapo viumbe ktk sayari. Nyngn wanatuchora sisi binadamu wametuacha mbali ki technology mf. Speed ya mwanga ndio inanguvu ya mwendo kuliko chochote duniani lkn nje ya box kuna vitu vinaspeed Mara mia zaidi ya mwanga ila acha technology izidi kukua
yaani mimi ninawaza kama dunia yetu iko kwenye mfumo wa sayari tisa sijui nane na jua iko kati na jua letu ni nyota. je nyota tunazoona kila moja ina mfumo wake wa sayari?

Na kwani nini isiwe na sayari zake akili zangu inanituma zote zina sayari zake na kuna maisha vile vile kama sisi sayansi ni tamu sana ina inataka a smart brain
 
mku kwa mara ya kwanza natoka sitimbi nikajiunga na computer science baba hako kahesabu siku za mwanzo yalinizingua kinoma sana lakini baadaye nikavimudu
Tunachanganya sana.. sana hasa
 
mkuu umenikumbusha sana chuo mzee hiyo ikichanganywa kitu kingine kinaitwa nanotechnology kiasi kwamba punje ya sukari inabeba GB 3 ni hatari dunia hiyo inayokuja usipime iko rafu san
 
Artificial intelligence so far imeshindwa kumaster
Ethical algorithms
Cognitive algorithms
Rule algorithms

Ili intelligent machine iweze kupambana na mwanadamu lazima iwe competent kwenye hayo maeneo matatu

Ndo maana so far self driving car, na artificial inspired robotics main product za AI zimeshindwa kuja mainstream

Na kikwazo cha AI hakuna consensus kwenye mtaala wa artificial intelligence. Na ndo maana experts wa AI wana master na PhD ni ngumu sana Kwa undergraduate kuimaster AI

Na ni lazima Transfer learning iwe put into implementation sababu ndo mkombozi Kwa nchi makampuni ku-adopt artificial intelligence, sababu gharama za kutrain AI models ni kubwa sana kitu ambacho ni kikwazo cha AI kukua
 
bahati93,
Cognitive ability ya ubongo ni very sophisticated ili AI iipite ubongo lazima iwe smart kwenye cognitive ability zaidi ya ubongo wa binadamu kitu ambacho so far ni mythical
 
Cognitive ability ya ubongo ni very sophisticated ili AI iipite ubongo lazima iwe smart kwenye cognitive ability zaidi ya ubongo wa binadamu kitu ambacho so far ni mythical
Kabisa ni kiunzi kigumu sana mwanadamu kukiruka
 
Baba Swalehe,
Elezea.

Tafiti za kisayansi (siyo kidini kama ulivyodai mwanzo) zinaeleza binadamu wa zamani waliishi millions of years. Refer evolution study na findings za Carbon 14.

Au sayansi yako wewe ni ipi mkuu?
 
These signals from the brain — they’re really complicated. Last year when i was so busy hafu unaiuliza maswali yako ya golden ratios i was doing certain experiments trying to. Deal with paralyzed arm by AI.

I Fed the brain-activity of a patient recordings to an artificial neural network, a computer architecture that is inspired by the brain, and tasked it with learning how to reproduce the data.

The recordings came from a small subset of neurons in the brain — around 200 of the 10 million to 100 million neurons that are required for arm movement in humans. To make sense of such a small sample, the computer had to find the underlying structure of the data....

Ai is really something [emoji102]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Elezea.

Tafiti za kisayansi (siyo kidini kama ulivyodai mwanzo) zinaeleza binadamu wa zamani waliishi millions of years. Refer evolution study na findings za Carbon 14.

Au sayansi yako wewe ni ipi mkuu?
Hakuna binadamu aliyewahi ishi million of years

And carbon 14 imetumika kutuonyesha miaka ya hao watu tangu walipofariki....

Do you know apoptosis how can a person live a million years

Be serious



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom