A Journey to the smart world: Ifahamu teknolojia ya Artificial Intelligence na utendaji wake wa kazi

A Journey to the smart world: Ifahamu teknolojia ya Artificial Intelligence na utendaji wake wa kazi

Ngoja nkuelekeze kuhusu stem cells

hizi ni cells ambazo znazo contain all genetic information inayoweza kuifanya iwe any type of the cell

Huwa tunazkusanya kipindi cha development ya embryo (ethically imeleta shida sana hii). ni cells ambazo huweza kuji differentiate na kuleta destiny ambaye ni wewe

And basically We now know that these specialised cells can be rejuvenated back into pluripotent stem cells with the potential to turn into almost any other cell

Hizi cell tunaweza kuzitumia kureplace zile damaged cells za eneo husika na kutengeneza organ husika bila kuwa rejected

Kuna technique inaitwa CRISPR
Hii unaweza kwenda kwenye dna strand na kufanya modification kwenye strand yako uka add au ukaremove dna ukaifanyia modification ya hatari

Eeh mkuu mi nmechoka haya mambo sipendi
Elezea.

Tafiti za kisayansi (siyo kidini kama ulivyodai mwanzo) zinaeleza binadamu wa zamani waliishi millions of years. Refer evolution study na findings za Carbon 14.

Au sayansi yako wewe ni ipi mkuu?
J

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iko hv kipind cha vita kuu za dunia ndio strong computers .internet.radar .large aircraft.nuclear bomb ziligundulia hii ni baada ya waingereza.wajeruman na wamarekan kuchukua wanasayansi na kuwawrka busy jeshin ili wavumbue vitu vya kuwatandika wenzao hasa marekan ndio alifanikiwa kwa kiasi kikubwa kukusanya wanasayansi wakubwa kutoka pande mbali mbali za dunia ivo tunaamin kwa technology nying ziligunduliwa jeshin zaman technology zilikuwepo lkn hazikuwa strong aftet world war 2 ndio technology ilianza kuja juu hata big aircraft zilijengwa kupitia vita
Mkuu kaipitie tena historia ya computer namna ilivyogunduliwa uje urekebishe maandiko yako hasa kwenye kipengele cha kuwa computers zimegundulika jeshini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini usinisaidie ku-Verify. Hii ni open topic kama nakosea mahali nilekerbishe
Computers hazikuanza kama zilivyo Sasa hadi miaka 70s, kabla ya hapo zilikua ni kwa ajili calculation na hii Ni toka acient time na late 1940 baada ya world war II ndipo first digital calculator ilitengenezwa na late 1950 wakagundua integrated circuit IC

1970s ndipo microprocessor na microcomputer revolution ilipoingia.

Hata ukisoma historia hapa utakutana na magiant wawili nao ni IBM (International Business Mashine) na APPLE computers zilipoanza kuzalishwa late 1970.

Mkuu nadhani hapo umenimanya japo in summary.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom