Kaka nimependa sana hii analysis, sasa ile sweet ya kwenye majina yao ina maana gani?Mkuu wanawake/wasichana ni viumbe vinavyopenda kujisifia na kusifiwa. ndo maana wengine akivaa nguo nzuri anapenda umwambie "umependeza" hata kama hajapendeza au "chakula chako kitamu" hata kama si kitamu, nayeye utasikia anakujibu kwa sauti nyororo huku akitabasamu "asantee..".
Yaani ndivyo Mungu kawaumba so usishangae. ndo maana mimi hata akinisemesha tu namwambia asante ili azidi kufurahi. Mia
mmhhh!!!!mkuu wanawake/wasichana ni viumbe vinavyopenda kujisifia na kusifiwa. Ndo maana wengine akivaa nguo nzuri anapenda umwambie "umependeza" hata kama hajapendeza au "chakula chako kitamu" hata kama si kitamu, nayeye utasikia anakujibu kwa sauti nyororo huku akitabasamu "asantee..". Yaani ndivyo mungu kawaumba so usishangae. Ndo maana mimi hata akinisemesha tu namwambia asante ili azidi kufurahi. Mia
Mh mi sijasema hayo we Kipipi isinichonganishe
mbwa wako asipobweka, bweka mwenyewe..........
ushanpata??!!
Wengine wenye hayo majina na avatar zenye kuonyesha utamu ukiwaona unakimbia na hutorudi tena.
Kaka nimependa sana hii analysis, sasa ile sweet ya kwenye majina yao ina maana gani?
mmhhh!!!!
Fais wewe ni sweet bana, hata comment zako zimekaa kisweet sweet. Mia
Mh! Kizuri chajiuza na kibaya chajitembeza bure, hata kukiwa na mbwembwe zoote bado tu kama una ubaya wako either ni watabia utakuwepo no matter umeliweka jina livutie
mkuu na wewe umeanza kusifia sifia vp tena? Mia
Mkuu wanawake/wasichana ni viumbe vinavyopenda kujisifia na kusifiwa. ndo maana wengine akivaa nguo nzuri anapenda umwambie "umependeza" hata kama hajapendeza au "chakula chako kitamu" hata kama si kitamu, nayeye utasikia anakujibu kwa sauti nyororo huku akitabasamu "asantee..".
Yaani ndivyo Mungu kawaumba so usishangae. ndo maana mimi hata akinisemesha tu namwambia asante ili azidi kufurahi. Mia