a.k.a za majina ya wanawake zinamaanisha nini?

a.k.a za majina ya wanawake zinamaanisha nini?

HIVI mbona mambo mengine yapo too simple? Kutambua gender ya mdau, katika uandishi wa thread vipo viashiria chungu tele vionyeshavyo gender ya mtu.
Ofcz mimi najiamini nnao uwezo wa ku'ditect mijikedume/midumejike ya humu Jf mmoja baada mwingine! Sema tu shughuli yenyewe haina tija wala income!
kwa hiyo kongosho ni he au she au heshe kama anavyodai yeye?
 
Ujue leo natembea na vaseline
Sitaki mchezo
Hasira ziko karibu kweli
Itabidi unitafutie Eliza wa Tegeta
Vaseline ya kazi gani tena? Unauza urembo?
 
Ndio nauza urembo
vaseline na mapulizo ya kupamba

Hya nipitishie namimi nipambe nyumbani kwangu maana huwa naona yanawekwa sana wakati wa Krismakha! Ila sio vaseline hiyo mpelekee nanihiii
 
Back
Top Bottom