Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2008
- 15,321
- 10,075
kwa hiyo kongosho ni he au she au heshe kama anavyodai yeye?HIVI mbona mambo mengine yapo too simple? Kutambua gender ya mdau, katika uandishi wa thread vipo viashiria chungu tele vionyeshavyo gender ya mtu.
Ofcz mimi najiamini nnao uwezo wa ku'ditect mijikedume/midumejike ya humu Jf mmoja baada mwingine! Sema tu shughuli yenyewe haina tija wala income!