mkuu na wewe umeanza kusifia sifia vp tena? Mia
Umemuona sweetlady au??
kiSWEET
Dah una akili sana wewe unajua nilikuwa sijaiangalia hii eeh!
KIPIPI = KISWEET! Safi sana ni mule mule.............
na faizaFOXY??????
Na Kongosho?????
na faizaFOXY??????
Na Kongosho?????
hivi kongosho wewe kwa nini usi diklee gender yako ili wakware wa humu jf wajue moja?Hawa ni taasisi
sio watu real
na ukizubaa wanakupopobawa
Hivi jinsia ya Kongosho mbona imekua ni swali la kurudi sana? si nadhani yeye mwenyewe anasema ni mwanamke? sasa sisi ni nani kubishana nae?hivi kongosho wewe kwa nini usi diklee gender yako ili wakware wa humu jf wajue moja?
hivi kongosho wewe kwa nini usi diklee gender yako ili wakware wa humu jf wajue moja?
lini alisema ye mdada?umemsoma hapo juu,anasema naye mkware!Hivi jinsia ya Kongosho mbona imekua ni swali la kurudi sana? si nadhani yeye mwenyewe anasema ni mwanamke? sasa sisi ni nani kubishana nae?
Hivi jinsia ya Kongosho mbona imekua ni swali la kurudi sana? si nadhani yeye mwenyewe anasema ni mwanamke? sasa sisi ni nani kubishana nae?
Hahahahahaaa MIJIKEDUME/MIDUMEJIKE.......................Imenifurahisha hiiHIVI mbona mambo mengine yapo too simple? Kutambua gender ya mdau, katika uandishi wa thread vipo viashiria chungu tele vionyeshavyo gender ya mtu.
Ofcz mimi najiamini nnao uwezo wa ku'ditect mijikedume/midumejike ya humu Jf mmoja baada mwingine! Sema tu shughuli yenyewe haina tija wala income!