A.K.A za wachezaji wageni vs A.K.A za wachezaji wazawa

Kuna mchezaji wa kigeni huwa nasikia tu jina lake anaitwa "Mdaka mishale" 😁😁
 
Mpenja ndio anaongoza kwa kubuni A. K. A nyingi kwa wachezaji wa bongo na zikabamba kongole kwake.
 
Mwinyi Kazimoto-Ball dancer
Ramadhani Singano-Messi
Ramadhani Chombo-Redondo
Bakari Nondo-mpiga nyeto
John Boko-Adebayor
Said maulid-SmG
Nadir Haroub-Canavaro
A.k.A ni kwa wachezaji wa timu zee tu sioni Azam,Namungo,Kagera,cost,Mbeya city n.k
 
A.k.a Kali zaidi ni chinga one... Japo sikuwahi kumuona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…