A Letter to Jakaya Kikwete concerning a threat of 'Arab Settler Colonialism' through the instrumentality of Tanzania-Dubai Treaty

Kitendo cha kutuma tu imeonyesha jinsi ushamba uliokua nao kichwani...we strong men we dont need validation either you take it or leave it...utajua mwenyw na ujinga wako...

LAKINI SI UMEKUBALI KUWA WEWE NDO MSHAMBA NA MBWEHA.

WAJINGA KAMA NYINYI NDO DAWA YENU
 
Tanzania never[emoji777]-Tanzania HAS never[emoji736]

about the country[emoji777]-About MY country[emoji736]

Why do i?[emoji777][emoji777]-Why should i?[emoji736][emoji736]
Mkuu nadhani acheni hizo hili litabadilika kuwa jukwaa la lugha anyway ulivyo msahihisha umekosea context yake yaya haongelei Tanzania nchi bali kwa kiswahili angesema hivi Watanzania hawajawahi kuwa serious na nchi yao, kwanini mimi nisumbuke kwahio utaona kuna makosa katika masahihisho yako haongelei nchi bali wananchi na sio nchi yake tu bali nchi ya hao watanzania wenyewe...

AU

Anaweza akawa anajuta au anajishangaa kwamba watanzania hawajali nchi yao lakini kwanini yeye anajali ? - Yaani anajihoji mwenyewe.....

Mwisho kabisa lugha ipo pale kufikisha ujumbe kuwa petty kwenye semantics na grammar mwisho wa siku tunatoka kwenye point at hand...., Yaani mtu anapika uji wewe unakuja unadhani anapika ugali unaweka chumvi mwisho wa siku tunaharibu pishi...
 
Nenda nyuzi za wajinga kule.

Unaleta utani kwa vitu serious hapo.

Pumbavu.
Huu zi umeandikwa kifitna. Hauna ukonki wowote.


Aliyeandika ana maumivu makubwa sana moyoni.

Qur'an 2:
8.
Na katika watu, wako wasemao: Tumemwamini Mwenyezi Mungu na Siku ya Mwisho, wala wao si wenye kuamini. 8


9. Wanatafuta kumdanganya Mwenyezi Mungu na wale walio amini, lakini hawadanganyi ila nafsi zao; nao hawatambui. 9


10. Nyoyoni mwao mna maradhi, na Mwenyezi Mungu amewazidishia maradhi. Basi watakuwa na adhabu chungu kwa sababu ya kusema kwao uwongo. 10

Hakika Allah hajaacha kitu, hiyo exact desription ya mleta mada.
 
Go do your homework, there's no such a thing as "Sultan" in Dubai.

Pathetic.




I have done my homework, and these are the findings:

1. The United Arab Emirates is an elective monarchy formed from a federation of seven emirates, consisting of Abu Dhabi (the capital), Ajman, Dubai, Fujairah, Ras Al Khaimah, Sharjah and Umm Al Quwain.

2. Each emirate is governed by a ruler and together the rulers form the Federal Supreme Council.

3. The members of the Federal Supreme Council elect a president (as of 14th May 2023, Sheikh Mohamed bin Zayed Al Nahyan) and vice president (Sheikh Mohammed bin Rashid Al Maktoum) from among their members.

4. In practice, the ruler of Abu Dhabi serves as president while the ruler of Dubai is vice president and also prime minister.

5. The UAE is an authoritarian federal monarchy. According to The New York Times, the UAE is "an autocracy with the sheen of a progressive, modern state".

6. The UAE has been described as a "tribal autocracy" where the seven constituent monarchies are led by tribal rulers in an autocratic fashion.

7. There are no democratically elected institutions, and there is no formal commitment to free speech.

8. The term "sultan" is distinct from king, though both refer to a sovereign ruler. Its use is restricted to Muslim countries, where the title carries religious significance, contrasting the more secular king, which is used in both Muslim and non-Muslim countries.

My take:
The title Sultan is worthy usage as a prefix to Dubai Leader.

Source: United Arab Emirates - Wikipedia and Sultan - Wikipedia
 
Umemjibu kweli kweli. Kile kibibi hovyo kabisa
 
Naming calling is unlawful, moderators do your job?

USSR

Sent from my TECNO B1c using JamiiForums mobile app
 
Bravo Mama Amon there is more to your analysis if your listen to the following presentation.

 
"...Hitherto, we are of settled minds that, in October 2022 the state house committed treason by signing the bogus Tanzania-Dubai Treaty and that on 10 June 2023, the Parliament similarly committed treason by ratifying the bogus Tanzania-Dubai Treaty..."
 
You can knock on deaf man's door forever - Nikos Kazantzakis.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
 
Jamani tuambieni tumeuzwa na kama ndio kwa gharama gani barua ndefu mie kusoma majaliwa halafu nataka kujua please
 
Hii ndo JF ninayoifahamu mimi
 
Naamini tuna Serikali sikivu sana.
Naamini imesikia
Naamini hatua mahsusi zitachukuliwa haraka sana.

Naamini Maslahi ya Nchi Yatazingatiwa.
 
Nchi hii ina watu wangapi? Sababu ya hicho kiingereza ndio unafikiri ni Prof Tibaijuka? Wapo waliosoma na kuelimika. Wapo waliokariri matakataka mpaka kupata kuwa Maprofessor.
Lakini hili la bandari, Rais alitazame upya, kwa maslahi mapana ya nchi yetu. Aliangalie kwa ajiri ya umoja, ustawi na utengemano wa Taifa letu. Tusishindane kwenye kitu ambacho kinaweza kutuharibia sisi wote, leo na hata miaka 100 ijayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…