Hili swalanla wasiojulikana kujiamulia watakavyo linalotuumiza vichwa, ni jambo dogo sana ikiwa Waziri Ridhwani Kikwete akiamulia kulivalia njuga.
Awamu ya pili ya mzee Mwinyi marehemu, Aliinuka Mtu mmoja tokea kule Kilimanjaro aliitwa Lyatonga Mrema, alikuwa akitamka Neno, ndani ya masaa...
Habari ndugu watanzania,
Nimemfuatilia kitambo Sasa Waziri wa utumishi ndugu Ridhwan Kikwete, tangu achaguliwa kuwa naibu Waziri, hajawahi kushuka, ni kupanda tu, amevinjari wizara karibia zote nyeti bila kuguswa na kashfa yoyote. Ni mkimya na anajua kufanya kazi yake vyema.
Alipokuwa wizara...
Rais mstaafu, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ameishauri Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kuangalia uwezekano wa kujenga Bwawa Dogo eneo la Wami, litakalosaidia kuongeza upatikanaji wa maji Chalinze ifikapo mwaka 2030 hadi 2050.
Akizungumza baada ya...
Unataka Kikwete aseme nini? Kuwa wewe Kikwete na huyo Samia wako wananchi hawatutaki? Mliogopa kusema ukweli mkiwa CCM kama Humphrey Polepole leo mnajuta mkijifanya wapinzani
Hii haiwezekani.
Maandamano ya Oktoba 29 kupinga mauaji ya raia ili CCM mtandao waibe mali za Watanganyika ni jibu la...
Nchi yetu barabara kuu km za
1. Dsm-Moro-Iringa-Mbeya-Tunduma(T001)
2. Chalinze-Moshi-Arusha-Namanga(T002)
3. Morogoro-Dodoma-singida-Nzega-Shinyanga-Mwanza(T003/T004) zilitakiwa njia ziwe njia 4 magari yasipishane.
Badala yake angalia vipaumbele vya hovyo vya Magufuli;
1. Uwanja wa ndege wa...
Historia Viongozi hasara Tanzania: Kikwete na ndugu zake, Samia na ndugu zake hawa ni vilaza
Kabudi, Chenge, Jadi Chade hawa wana akili lakini matumbo yamewafikisha hapo
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete, amewaagiza waajiri kuhakikisha wanatenga bajeti ya kulipa stahiki za waajiriwa wapya kabla ya kuwasilisha maombi ya kuongezewa watumishi.
Akizungumza Septemba 23, 2026, jijini Dodoma katika...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mstaafu wa Awamu ya Nne Mheshimiwa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete Ameingia na Kutua Mkoani Tabora kwa Ziara ya kikazi ya Siku nne .
Ambapo katika Ziara hiyo Atafanya ukaguzi Wa Utekelezaji wa miradi ya Afya inayotekelezwa Chini ya Taasisi yake ya Jakaya...
Jamaa amekabidhiwa chama majuzi tu lakini kimeshinda yeye siasa kwake ni kurumisha mitusi mwanzo mwisho. Kwake hakina pont of consensus hata kidogo.
Inawezekana ana akili ya darasani ili hekima zero.
Alichapwa risasi 32 mama akaenda kumtoa huko ughaibuni kwa kumhurumia na baada ya kufika...
G55 vs Nyerere, Pemba 2000 vs Mkapa, na Warioba vs Kikwete.
Vipindi hivi vitatu vilitikisa mjadala kuhusu mustakabali wa Muungano, lakini hatimaye havikuzaa Tanganyika au Zanzibar huru.
Leo tunajiuliza swali lilelile:
Je, kipindi cha Samia Suluhu Hassan ndiyo tutatoboa?
Je, tutafika kwenye...
Vitabu vya dini vinatufundisha tuwe na kiasi, lakini hii familia imezidi hata hicho kiasi.
Kuanzia Baba wa familia, mama wa familia, watoto wote wa familia, nasikia vijukuu wengine ni viongozi wa Chipukizi ndani ya chama.
Bakresa amefanikiwa kwenye mali na biashara lkn huwezi kumsikia kwenye...
Ninauliza !!.
Kwa upande mmoja, Kikwete anasukuma Kete yake ya Kumpachika RIDHIWANI.
Kwa Kikwete, RIDHIWANI anapangwan kuja kama kinachoitwa' Msuluhishi, Mtuliza Mambo ' .
Suala Moja la Uhakika linalowasumbua Timu Samia na Timu Kikwete ni UWAJIBIKAJI WA MAUAJI YA OKTOBA 29!!.
Mungu ananilinda, Dkt samia suluhu ndo raisi wa nchi na Jakaya Kikwete baba wa taifa aliebaki yupo mzima wa afya wacha waandamane wataisoma number
Moja ya vitu nashukuru Mungu ni uwepo wa Rais mstaafu wa awamu ya nne Jakaya Kikwete, anayeijua ccm na serikali na viongozi wastaafu na wapinzani...
Utawala wa Samia umefanya makosa makubwa ya kimkakati (strategic mistakes) yaliyoweka fursa ya kushitakiwa na kunyongwa.
Kosa la kwanza ni "Coup D'etat" mtu yoyote anayejua siasa na sheria anafahamu October 29 Samia na Washirika wake walifanya mapinduzi dhidi ya maamuzi ya kiraia (Katiba...
Kichwa kiko wazi.
Nashangaa.
Kunani?
Ni mpango wa kutupiga changa la macho au?
Nani ni nani katika hili?
Je, kiraka kajitambua au kujitutumua?
Tutegemee kumagufuliana kama ilivyotokea?
Je, damu ya wahanga itawaacha wawe na amani na uhai kweli?
Nahisi kuna kitu bado hatujakijua wakati huu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.