Historia Viongozi hasara Tanzania: Kikwete na ndugu zake, Samia na ndugu zake, Kabudi, Chenge, Jadi Chade

Chenge alikuwa AG smart sana alikuwa professional mno kwenye kazi yake akiwa AG Sheria nyingi zilizotungwa akiwa AG zilikuwa nzuri na zimejenga taasisi nyingi za umma.

Shida ya Chenge ni lile doa la ufisadi ambalo lilikuwa la mfumo mzima wa utawala.
 
1791402187109.jpeg
 
Kabudi ana akili gani? Umetumia kipi kupima uwezo wa kabudi mpaka kumtaja kama mtu mwenye akili sana?
Chenge na jaji chande pia umetumia Nini kusema ivyo?

Mimi naweza kusema Tundu Antipas Lissu ana akili sana na kawazidi hao wote na mifano ipo mingi hata kuia dika hapa pages 10 na zaidi hazitatosha.
 
Chenge alikuwa AG smart sana alikuwa professional mno kwenye kazi yake akiwa AG Sheria nyingi zilizotungwa akiwa AG zilikuwa nzuri na zimejenga taasisi nyingi za umma.

Shida ya Chenge ni lile doa la ufisadi ambalo lilikuwa la mfumo mzima wa utawala.
Sheria zipi?? Smart kwa lipo huyu si ndiyo alikua mshauri wa kisheria kuhusiana na mikataba ya madini , ubinafsishaji wa kampuni ya umma na mikataba almost yote mibovu ilikua kipindi chake kwa miaka zaidi ya 10+

Mzee kama chenge ilipaswa wakamatwe wafungwe jiwe kubwa shingoni wakatupwe ziwa Tanganyika kama kafara ya watanganyika wote .
 
Ufisadi ni mfumo mzima wa nchi na yeye hawezi kukwepa hilo ila kwenye suala la kutunga sheria za Nchi ofisi yake ilijitahidi sana hasa kwenye sheria za kuunda taasisi mbalimbali za umma.
 
Historia Viongozi hasara Tanzania: Kikwete na ndugu zake, Samia na ndugu zake hawa ni vilaza

Kabudi, Chenge, Jadi Chade hawa wana akili lakini matumbo yamewafikisha hapo
Mimi viongozi hasara kwa Tanzania hii ni Professor Kabudi na Andrew Chenge
 
Ufisadi ni mfumo mzima wa nchi na yeye hawezi kukwepa hilo ila kwenye suala la kutunga sheria za Nchi ofisi yake ilijitahidi sana hasa kwenye sheria za kuunda taasisi mbalimbali za umma.
Kigogo
Kama Leo tunadiriki sema Ufisadi ni Mfumo
Basi tuna safiri ndefu sana.......
Kwanini hakuachia madaraka baada ya kuona huo ufisadi? Maana ake ni kwamba
Na yeye ni sehemu ya huo Ufisadi,Chenge hajawahi kua muadilifu hata punje
Naunga mkono kwa mtoa Maada
 
Back
Top Bottom