Kipindi cha Kikwete alileta mapnduz makubwa mno kwenye siasa za nchi yetu kwenye siasa za upinzani, Uhuru wa kuongea na baada ya kuongea, n.k.
Siwezi kusema kikwete alikuwa mkamilifu kwenye kuleta siasa huru lakini alijitahidi
Kwa mara ya kwanza wagombea wapinzani walijaa bungeni
matumizi...
Ndugu zangu Watanzania,
Hivi Ndivyo Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mheshimiwa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete na Katibu Mkuu Mstaafu na Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa mstaafu Ndugu Abdulhaman Kinana walivyokutana uso kwa uso na kubadilishana mawazo na stori za hapa na pale walipokuwa msibani kwa...
Katika makala yake kuonyesha muda mrefu ambao Raisi Yoweri Museveni wa Uganda amekaa madarakani, gazeti la Guardian limeandika kwa namna ya kuonyesha watu kadhaa waliokuwa maraisi hawapo tena duniani, wakati bado wako hai!
Haya ndiyo waliyosema Guardian.
Museveni surpasses 18 EAC counterparts...
Chaguzi za mwaka unaoishia na 5 tulizoea kuona CCM wakiweka Mgombea Urais Mpya na Chadema Wagombea wao walitoka kaskazini huku CUF wakiwa na Mgombea wao wa kudumu.
2025 mambo yatakuwa tofauti Kabisa Mgombea wa CCM atakuwa anatetea nafasi yake Kwa Muhula wa pili wa Kikatiba, Mgombea wa Chadema...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete amesema Tanzania inapeleka mwenge wa uhuru juu ya mlima Kilimanjaro ili kuitangazia dunia kuwa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni imara na pia itaendelea kulinda Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar...
RAIS Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amesema amani na utulivu ambayo nchi nyingi duniani na bara hili wanayaona nchini ni matokeo ya msingi imara ambao umejengwa chini ya uongozi wa Baba Taifa hayati Mwalimu Julius Nyerere na kuongeza kuwa ni jukumu la kila Mtanzania kulinda...
amani
awamu
awamu ya nne
bara
dkt. jakaya mrisho kikwete
duniani
jakaya mrisho kikwetekikwete
matokeo
mstaafu
nchi
nchini
nyingi
rais
rais mstaafu
utulivu
BASHUNGWA AWEKA JIWE LA MSINGI SHULE YA SEKONDARI JAKAYA KIKWETE - CHALINZE
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Dira ya Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ni kuongeza idadi ya Shule za Msingi na...
Ndugu zangu Watanzania,
Ninayo furaha kubwa sana Moyoni Mwangu kumtakia heri ya kuzaliwa mzee wetu Mheshimiwa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete Rais Mstaafu wa awamu ya Nne,Mwanajeshi mstaafu,mwanadiplomasia Nguli,Mwana Demokrasia aliyekomaa,Kipenzi cha watanzania na waafrika na DUNIA nzima kwa...
Rais Mstaafu Kikwete nakusalim kwa jina la jamuhuri ya Muungano.
Ama kwa hakika nimekaa nikatafakari nakitafakuri nikasema niandike jambo kwenye JamiiForums labda watuwako wanaweza kukupa usome ukapata nawe tafakuri zaidi kuelekea 2025.
Huwa mara nyingi naikumbuka basically moja ya speech zako...
Kwa mujibu wa takwimu za BOT hadi julai 2024 deni la taifa limefikia Trillioni 98.5 tangu tupate uhuru.
Imetuchukua miaka 60 tangu kupata uhuru from 1961 to 2020 na Maraisi Watano Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Magufuli kufikisha Trillioni 56.5 ya Deni la taifa.
Halafu ndani ya miaka...
Rais Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Rais mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete. Picha na Maktaba
Januari 24, 2024, Chadema walifanya maandamano makubwa Dar es Salaam. Yalikuwa maandamano ya amani, yaliyoandika rekodi Tanzania. Serikali iliridhia, polisi walishirikiana na viongozi wa...
Rais mstaafu Jakaya Kikwete aliwahi kutoa ushauri kwa uongozi wa awamu ya 5 kuhusu namna ya kuendesha siasa na wapinzani. Alisema wapinzani waachwe watoe hoja zao tutawajibu kwa hoja, kama ni kuandama waachwe waandamane mwisho watatulia.
Katika uongozi wa Kikwete demokrasia ilionekana kukomaa...
Nakumbuka katika kikao Cha mkutano Mkuu wa CCM, iliofanyika jijini Dodoma mwaka 2012, Jakaya Kikwete, akiwa ni Mwenyekiti wa CCM wa Taifa na wakati huo huo akiwa ni Rais wa Tanzania wa awamu ya 4 aliwaonya vikali CCM kuwa wasilitegemee Jeshi la Polisi, kuwafanyia siasa na badala yake wapambane...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Ridhiwani Kikwete ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Chalinze lililopo Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani ameshiriki kupokea Ugeni wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Taifa Cde Ally Salum Hapi katika wilaya ya Bagamoyo...
Asalam Aleykum wapenzi wana JF,
Wakati nafuatilia mchakato wa kumpigia chapuo Raila Odinga ili awe Mwenyekiti wa umoja wa Afrika, Mh. Ruto alifanya hafla na kuwaalika viongozi mbali wa Kiafrika pamoja na viongozi wastaafu.
Mmoja wao alikuwa Rais mstaafu wa Nigeria, Mh. Obasanjo ambaye...
Ndugu zangu Watanzania,
Mpaka sasa Mheshimiwa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete Rais Mstaafu wa awamu ya nne anashikilia rekodi ya kupata kura nyingi na kwa asilimia kubwa katika awamu yake ya kwanza tu katika kutafuta nafasi ya kuingia ikulu tangia mfumo wa vyama vingi uanze.
Napenda...
Habari wana JF.
Kwanza kabisa niharakishe kutamka hapa kwamba sipingi viboko mashuleni.Viboko 'huamsha' wazembe,halikadhalika husaidia kurekebisha nidhamu'kwa kiasi fulani'. Lakini adhabu ya viboko ina namna yake na idadi yake.Lengo la viboko ni kunyoosha na sio kukomoa.
Tatizo tulilo nalo leo...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Ridhiwani Kikwete (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo mafupi na Afisa Mtendaji Mkuu wa Chama Cha Waajiri Tanzania (ATE) Bi. Ndomba Doran aliyeongozana na Meneja wa Kanda ya Kati wa ATE, Bw. Leonard Mapha...
afisa
afisa mtendaji
afisa mtendaji mkuu
ajira
ajira kwa vijana
akutana
chama
kikwete
mazungumzo
mikakati
mkuu
mtendaji mkuu
ridhiwani
ridhiwani kikwete
tanzania
vijana
waajiri
Ni ushauri mzuri
Lakini.
Library za kuazima vitabu ziko wapi?
Au ile moja pale posta? Ihudumie Tanzania nzima? Wilaya
Mamlaka za elimu ndizo zimetufikia hapa. Tu asoma vitabu vya fiction kwenye simu zetu, hivi vya bei mbaya tutavipata wapi.
Kila wilaya mkoa wa dsm walau ingekuwa na Library...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.