Rais Kikwete ametangaza nia ya kuanza kwa ujenzi wa Reli ya Kati kwa kiwango cha kimataifa. Rais amesema reli nyembamba inapatikana eneo la Afrika Mashariki tu.
Mh. Rais kayasema hayo mkoani Simuyi wakati akiweka jiwe la msingi kuzindua ujenzi wa barabara itakayounganisha mkoa wa Simiyu na...
Donald Trump ni Rais mstaafu wa USA
Bila shaka kuwa kwake bench kwa miaka hii minne amejifunza mengi kama observer na anajutia mengi ambayo aliyafanya au hakuyafanya.
Trust me akipita atakuwa Rais bora sana kuliko tunavyomchukulia.
Hata kule Russia,Putin na Medinev wamepokezana sana kiti cha...
Rais mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete ni kiongozi miongoni mwa viongozi pekee barani Afrika walioweza kuimarisha demokrasia nchini japo kuna baadhi ya madhaifu machache yaliyoweza kuripotiwa, mfano utekwaji wa mwenyekiti wa madaktari Dk. Ulimboka, lakini tukiondoa madhaifu haya Rais mstaafu Dkt...
There are things that happen in society involving any leader, they always have the appearance of bringing laughter to the heart and not being angry and condemning people to jail!
Kuna mfano halisi wa maandamano ambayo yamewahi kutokea kipindi chq uongozi wa Mwalimu Nyerere,
Wanawake...
"Nawaomba sana hawa Wasanii wa Muziki wa Tanzania kuwa haya Mapato ambayo wanayapata wayatumie hasa katika Kuwekeza ili basi hata Wakistaafu waendelee kuishi vyema kuliko kuja kuishi Kimaskini na kutushangaza Sisi ambao Kutwa walikuwa wanaturingishia Magari yao ya Kifahari, Majumba ya Kifahari...
RAIS Mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Kikwete, amempongeza Rais Dkt. Samia Suluhu, kwa namna anavyopeleka fedha katika halmashauri, zinazokwenda kutekeleza shughuli mbalimbali za maendeleo, ambapo miradi mingi inatekelezwa katika uongozi wake.
Kikwete ametoa pongezi hizo katika...
Ukiacha ulechango wa harusi ambapo naibu waziri Ridhiwani alichangia million 30 leo ameposti kuwa wamechinja zaidi ya Ng'ombe 1500 kwa ajili ya idi.
Chalinze hakuna maji, kumejaa umaskini hasa huko ndani ndani ,shule zipo hovyo zimejaa nyufa hakuna madarasa ila mbunge anajisifia kuchinja...
Ni kauli ya mh Rais mstaafu Kikwete aliyowahi kuitoa katika moja ya vikao vya viongozi wa CCM akisema
CCM, haina mpango wa kuweka mgombea mwingine kwenye uchaguzi ujao (2025) labda mambo yaharibike zaidi
Ndugu watanzania, Tanzania ni nchi yetu sote, kumchagua mtu ili awe Rais wetu, ni...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu Innocent Chengula (23) kwenda jela miaka saba, baada ya kupatikana na makosa sita likiwamo la kujipatia Sh4 milioni kwa njia ya udanganyifu kutoka kwa Naibu Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti na Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete...
Hello!
Mambo mengi munayoyaona katika taifa hili yalifanyika kipindi cha Rais Kikwete na yale yaliyofanyika kipindi cha Magufuli na Samia mengi yaliasisiwa au kutiliwa mkazo zaidi kipindi cha Kikwete.
Kipindi cha Magufuli tumetangaziwa viwanda hewa maelfu kwa maelfu, kipindi cha Samia sijui...
Binafsi nafuatilia sana siasi Kwani naelewa mustakabali wa maendeleo yetu kama binadamu unaletwa na siasa safi.
Kwa upande wa Afrika Mashariki na kati na kwa kipindi hiki ambacho naelewa kinachoendelea duniani (2005 - 2024).
Hii hapa ni list ya wanasiasa ambao kwao nimejifunza mengi.
1...
Kipindi cha uongozi wa Rais Kikwete tulibahatika kupata ujio wa bwana Aga khan na familia yake kama ilivyo utaratibu wao wakutembelea nchi kwa nchi.
Kutokana na michango mingi ya Aga Khan kama hospital,benki na n.k inamfanya kuwa mtu mwenye ngazi kubwa ya kuangaliwa na nchi nyingi kwa viongozi...
Simply watanzania walikuwa bado hawajapevuka, hasa katika kuyaelewa mapungufu yaliyopo, na kipi walichokuwa wakikihitaji kwa wakati ule!
Just simply case!
Namshauri ajitokeze ajipange vizuri aje na hoja za kimsingi ili lawama juu yake zimuondoke, na hatimaye apumue!
Pia soma:
Kwanini Jakaya...
SERIKALI YAONGEZA AJIRA KWA WATUMISHI WA USTAWI WA JAMII
WANANCHI KUSHIRIKIANA NA SERIKALI KULINDA MAADILI
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Ridhiwani Kikwete ameliambia Bunge kuwa ndani ya kipindi cha miaka miwili serikali imeshawaajiri...
Jamani yule Jabali la siasa bora zenye Tija kwa taifa limeanza Phase 2 hapo jana.
Tundu Lissu Mwenyekiti wa Chadema Taifa ameonekana akiwa kwenye mkutani Mkoano Dodoma wilaya ya Mpwapwa huku akishangiliwa na Umati wa watu wengi sana.
Alifafanua namna Marais wa Jamhuru ia Muungano wa Tanzania...
Zitto Kabwe amesema mwaka 2012 alipata changamoto chama chake cha wakati huo cha CHADEMA akidai ilikuwa juhudi ya kumzuia kuwa mwenyekiti wa chama hicho, Zitto amesema kulikuwa na makubaliano baada ya kugombea uchaguzi wa nyuma yake kwamba amuachie kijiti Freeman Mbowe na atampokea miaka mitano...
Hii ni hint itayoelewaka kwa wenye akili na wafuatilaji wazuri wa siasa za Bongo.
Ni mtazamo wangu kuwa,baada ya Bashite kuongea alichoongea, kulikuwa na reaction ya walioguswa lengo wasionekane wabaya kwa Mama. Kwa maana ya kwamba wamesingiziwa ingawa hakutaja mtu ila wanaotajwa wanajjulikana...
Kila ifikapo Aprili 16 ni Kumbukizi ya Kuzaliwa ya Mbunge wa Jimbo la Chalinze na Naibu Waziri wa Utumishi na Utawala Bora Mhe. Ridhiwani Kikwete. Kwenye Siku yake hii ya Kuzaliwa mwaka huu 2024, Kikwete ameitumia kusambaza upendo kwa wananchi mbalimbali kwa kutoa vyakula mbalimbali.
Kikwete...
1. Watu tulikuwa tunapata pesa. Kwa kila namna rais alikuwa hana muda mufuatilia mambo ya mtu. Kila mtu ajiservie hakuna kusumbuana. Kwenye viroba haya, kwenye sandarusi haya... Ushindwe wewe tu kwa aibu, woga au ushamba wako.
2. Aliwahi kuongea jambo la maana moja tu kwenye speech zake. Ndo...
Nchi ya one man show.
Haya yalianzia kwa Kikwete, akaja Magu akayapalilia, na sasa Mama ndo imekuwa mwongozo rasmi.
Hakuna anayeheshimi Katiba na Sheria tena. Rais amekuwa ndiye Katiba, Sheria na Utawala Bora.
Tafakari
Chukua hatua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.