kikwete

  1. mwanamwana

    Dkt. Kikwete: Soko la ajira limekuwa gumu kiasi kwamba, ufaulu wa darasani pekee hautoshi kukupa ajira

    Wasomi wameongezeka tofauti na miaka ya nyuma ambapo ukimaliza kusoma degree kampuni kadhaa zinakusubiria na kukupa ofa nyingi, ili kuendelea kukuza uchumi wetu lazima tuwe wabunifu tufikirie nje ya boksi. Programu hii ya kujengea uwezo wasomi wetu ili kukabiliana na changamoto ya ajira kwa...
  2. U

    Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete akutana na aliyekuwa baba mwenye nyumba aliyokuwa amepanga wakati akiishi mkoani Singida

    Baba mwenye nyumba huyo anaenda kwa Jina la Mzee Andrew na mkazi wa Singida Mzee Kikwete na familia yake waliamua kumtembelea Mzee huyo ili kumjuliana hali na kukumbushana ya miaka mingi! Ikumbukwe kuwa Mhesh Kikwete pia ni Mwenyekiti Mstaafu Taifa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kabla ya...
  3. AKASINOZO

    Zanzibar 2020 Mzee Kikwete: Mnataka Rais wa namna ya Dkt. Mwinyi sio Rais mwenye makeke mengi, mbwembwe nyingi...

    "Mnataka Rais wa namna ya Dkt. Mwinyi sio rais mwenye makeke mengi, mbwembwe nyingi, kujimwambafai mwambafai kwingi, kujitutumua kwingi, kuona wengine hawana maana, lakini Dkt. Mwinyi hana hiyo, isitoshe ni mwana CCM ambaye imani yake haina chembe ya shaka"
  4. Lord denning

    Waogope sana Makachero wenye haiba ya kucheka; Emerson Mnagangwa, Jakaya Kikwete na Bernard Camilius Membe

    Amani iwe nanyi wadau. Heri ya siku ya jumapili!! Leo napenda kuelezea kwa kifupi kuhusu makachero wenye haiba ya kutabasamu kucheka kuwa ni watu wa kuogopwa kupindukia 1. Emerson Mnagangwa Huyu sasa ndo Raisi wa Zimbabwe, kabla ya kuwa Raisi aliwai kuwa Makamu wa Raisi na kabla ya hapo...
  5. J

    Uchaguzi 2020 Kikwete: CCM ni chama cha dini zote, makabila yote, taaluma zote na wanasanaa wote kichagueni

    Rais mstaafu Dr Kikwete amesema tofauti na vyama vingine CCM ni chama cha dini zote na madhehebu yote kwa mfano waislamu kuna Shia, Sunni. CCM ni chama cha makabila yote zaidi ya 120 CCM ni chama cha wataalamu wote CCM ni chama cha wakulima, wafanyakazi na wafanyabiashara CCM ni chama cha...
  6. Suley2019

    Rais Magufuli atembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba maalumu ya Rais mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli leo ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba maalumu ya Rais mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete. Ujenzi wa Nyumba hiyo inajengwa na Serikali kwa mujibu wa Sheria namba 3 ya Mwaka 1999...
  7. K

    Mzee Kikwete: Mlitaka Geita isipate Uwanja wa ndege?

    Nadhani upo wakati ukiwa mwanasiasa uchungu na rasilimali za nchi unaweka pembeni unawaza chama au familia Kwanza. Mhe. JK anatuaminisha kwamba uwanja wa Chato ni kwaajili ya wana Geita, najiuliza kweli mtu atoke Geita town na viunga vyake aende kupanda ndege chato badala ya Mwanza? Kwanini...
  8. Kididimo

    Mzee Kikwete leo Mbagala umenena vyema kuwa miradi mingi ya awamu hii uliiasisi wewe japo wa gesi ya Mtwara hujauongelea

    REA, Shule za Sekondari, Barabara za Lami nk ni baadhi ya miradi uliyoiasisi au kuiendeleza ulipokuwa Rais wetu. Mungu akubariki kwa kuwa mkweli. Tulifika mahala tukaaminishwa kwa nguvu za ajabu kuwa awamu zilizopita hazikufanya kitu! Nilimsikia mgombea mmoja akisema kuanzia wakoloni hadi...
  9. Miss Zomboko

    Kikwete ashauri Serikali kupunguza gharama za matibabu kwa watoto wenye Usonji hasa hospitali za Serikali ambazo zinatumia kodi za wananchi

    Rais mstaafu Jakaya Kikwete, ameishauri Serikali na wamiliki wa hospitali kuangalia upya gharama za mazoezi tiba yanayotolewa kwa watoto wenye usonji ili kuwawezesha kupata huduma hiyo. Kikwete alitoa ushauri huo Dar es Salaam juzi, alipozungumza wakati wa hafla ya chakula cha jioni iliyolenga...
  10. Mshana Jr

    Happy birthday Jakaya Mrisho Kikwete

    Leo Rais mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete anatimiza miaka 70. Mimi binafsi namkumbuka kwa mambo machache aliyoyafanya: 1. Daraja la Kigamboni 2. Daraja La Kilombero 3. Daraja la Umoja 4. Daraja la Maragarasi 5. Chuo Kikuu cha Dodoma 6. Hospitali ya Mloganzila 7. Julius Nyerere International Airport...
  11. M

    Tujikumbushe: Waziri Magufuli alipotoa waraka wa mafanikio ya Rais Kikwete kwenye mambo ya ujenzi kuanzia mwaka 2005 hadi 2015

    Mwaka 2015 aliyekuwa Waziri wa Ujenzi , ambaye leo ni Rais wa Tanzania ndugu Magufuli, alitoa waraka wa mafanikio ya ya serikali ya awamu ya Nne ya ndugu Jakaya Kikwete, katika mafanikio hayo aliorodhesha mamiradi mengi mengi tu yaliyofanywa na serikali ya Mzee Kikwete. Sasa najiuliza kama...
  12. J

    Kama Rais Magufuli ameweza kukuza pato la taifa kutoka sh trilioni 53 alizoacha Kikwete hadi sh trilioni 120, Mungu atupe nini tena?!

    Kiukweli hizi data zimenitia moyo zaidi na kunifanya nizidi kutembea kifua mbele. Ukuaji wa pato la taifa kutoka sh trilioni 53 mwaka 2015 hadi sh trilioni zaidi ya 120 mwaka huu wa 2020 ni jambo la kujivunia ambalo ni lazima tulienzi kwa kumpa Dr Magufuli mitano tena. Tundu Lisu atapewa kazi...
  13. beth

    Mkurugenzi wa JKCI, Prof. Janabi asema magonjwa ya moyo yataongezeka kutokana na ukuaji wa uchumi

    Mkurugenzi wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi amesema magonjwa ya moyo yataongezeka zaidi kutokana na uchumi kukua kwa sababu maisha yanakuwa rahisi. Prof Janabi ametoa kauli hiyo leo jijini Dar es salaam, wakati wa utoaji wa huduma za kijamii One stop Jawabu...
  14. JFK wabongo

    Yanga SC tununue hili shamba Kiluvia Makurunge tujenge uwanja tuuite Jakaya Kikwete

    Kichwa cha habari kinajieleza. Kwa nini kiwanja pande hizi? Jibu: Ni rahisi kufikika na mashabaki hata wa mikoani. Jiji la Dar linakua kuelekea Kibaha na Bagamoyo. Hivyo kujenga uwanja pande hizo kutaongeza ari ya mashabiki kuhudhuria uwanjani. Kwanini tuuite Jakaya Kikwete? Jibu: Ni rais...
  15. J

    Uchaguzi 2020 Ridhiwan Kikwete apita bila kupingwa Ubunge Chalinze, labda ndiye " yule" ajaye 2025!

    Ni jambo jema. NEC imempitisha bila kupingwa Ridhiwani Kikwete kuwa Mbunge wa jimbo la Chalinze baada ya mshindani wake kutoka chama pinzani kujitoa. Source Swahili times Maendeleo hayana vyama!
  16. Erythrocyte

    Uchaguzi 2020 Kikwete, Mizengo Pinda na Kassim Majaliwa hamna ushawishi wowote kwenye siasa za Tanzania kwa sasa, huko kwenye kampeni mlikojiingiza mnachorwa tu

    Nikianza na Kikwete, huyu mambo yote yalimvurugikia mwaka 2015 kutokana na kutokujiamini na uoga wake dhidi ya Lowassa, akaboronga na kupeleka nchi kushoto kwa kucheza kamari ya hatari sana na kumpa nchi mtu asiyestahili, katili na mwenye visasi vya hovyo sana ambavyo havijawahi kutokea kwenye...
  17. J

    Uchaguzi 2020 Mzee Kikwete: Watu wanasema Mama Salma kaachwa ndio sababu anahangaikia Ubunge, nasema wapuuzeni

    Akiwa katika mkutano ulioongozwa na Makamu wa Rais mama Samia Suluhu huko Mchinga Lindi, Rais mstaafu ameongea kiutani kuwa "Watu walikuwa wanasema mama huyu [Salma Kikwete] kaachwa ndiyo maana anahangaikia Ubunge. Nyie shemeji zangu mnataka kuninyang'anya mke? Mie sijamuacha." Maendeleo...
  18. Miss Zomboko

    Uchaguzi 2020 Kikwete: Wanaosema Mikoa ya Kusini imesahaulika kimaendeleo hawaijui vizuri mikoa hiyo

    Rais mstaafu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wa awamu ya nne, Dkt Jakaya Kikwete amesema wanasiasa na wagombea wanaosema mikoa ya Lindi na Mtwara imesahauliwa na imeachwa nyuma kimaendeleo hawaijui mikoa hiyo na waongo. Dkt. Kikwete ameyasema hayo katika uzinduzi wa kampeni za uchaguzi...
Back
Top Bottom