Humphrey Polepole alisisitiza kwamba Samia na Kikwete lazima watashitakiwa na kunyongwa. Unabii utatimia wengi tukiwa hai

Humphrey Polepole alisisitiza kwamba Samia na Kikwete lazima watashitakiwa na kunyongwa. Unabii utatimia wengi tukiwa hai

MlimaSayuni

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2013
Posts
7,285
Reaction score
13,703
Utawala wa Samia umefanya makosa makubwa ya kimkakati (strategic mistakes) yaliyoweka fursa ya kushitakiwa na kunyongwa.

Kosa la kwanza ni "Coup D'etat" mtu yoyote anayejua siasa na sheria anafahamu October 29 Samia na Washirika wake walifanya mapinduzi dhidi ya maamuzi ya kiraia (Katiba inasema, Mamlaka (Uhalali) wa serikali utatoka kwa Wananchi), October 29 Uchaguzi uliharibika, kisheria hakukuwa na Kura/uchaguzi uliompa uhalali wa kushika nafasi hiyo, Uapisho wake ni kielelezo tosha kuwa tukio zima lilikuwa ni tukio la kuharakisha.

Kitu kingine hatari kabisa kutokana na hoja yangu hapo juu, inafanya Any faction(kundi) kwenye vyombo vya usalama/CCM kumpindua Samia kwa hoja Kuwa Wanalinda katiba na kuwawajibisha Washirika wa Samia waliowezesha Samia kupindua Utawala wa Kiraia October 29.

Kosa la Pili, Systematically Samia ameondoa kinga ya viongozi wa juu kushitakiwa kwa namna ambavyo Nchimbi ametolewa madarakani.

Naweza kusema Polepole na Nchimbi wamelipa gharama ya uhuru kuisaidia Tanganyika either walikuwa wanajua au hawajui.
 
Back
Top Bottom