Habari ndugu watanzania,
Nimemfuatilia kitambo Sasa Waziri wa utumishi ndugu Ridhwan Kikwete, tangu achaguliwa kuwa naibu Waziri, hajawahi kushuka, ni kupanda tu, amevinjari wizara karibia zote nyeti bila kuguswa na kashfa yoyote. Ni mkimya na anajua kufanya kazi yake vyema.
Alipokuwa wizara ya Ardhi, kulitokea mgogoro mdogo uliopelekea kutoelewana na Mzee Ole Sendeka ambaye haikupita muda gari lake likashambuliwa Kwa risasi, na baada ya mgogoro huo, kijana akahamishiwa kwingine, na sijasikia tena shida.
Swali; Record zipi bora zinazombeba kijana huyu kiutendaji zinazomfanya kutogusika?
Karibuni.