Record bora za kiutendaji zinazomfanya Ridhwan Kikwete kutogusika ni zipi?

Record ya kuzaliwa na Jakaya umeona haitoshi Bongo kwa sasa?

Ridhiwani hata kuongea hajui, kabebwa bebwa na mfumo wa kujuana tu, bila ya kuwa mtoto wa Jakaya Kikwete hata ubunge asingepata.
Namkumbuka Mbunge marehemu wa Chalinze,Mungu amrehemu.
 
Nongwa tu inakusumbua ndugu kiranga,

Babake alishastaafu kitambo.
Kwani kustaafu ndiyo nn? Kama babake ndo alitoa uamuzi wa kumpitisha bb kizee muuaji Samia ulitegemea amlipe kitu Gani haswa
Huyo dogo anajulikana tangu akiwa UDSM law hakuwa na lolote. Hata uchaguzi pale faculty aliiba Ili awe mwenyekiti akisaidiwa na Hawa kina beno malisa
 
Ok sawa
 
Ule uvumi kuwa riziwani alikamatwa na madawa ya kulevya kule china na kutaka kunyongwa hadi baba yake akaenda kupiga goti na kuwapa gesi yetu ya mtwara ili asinyongwe ni za kweli?
Moja kati uvumi mashuhuri amboa hauna uthibitisho
 
Comments zilizo nyingi zimejikita kwenye chuki na wivu
Mkuu,

Inawezekana una hoja.

Ila pia, kuna tabia ya kizembe ya kuona kila ukosoaji ni chuki.

Kuna ukosoaji kutokana na kutomkubali mtu kifalsafa tu.

Sasa unawezaje kujiridhisha hapa mtu kakosoa, kaponda, kwa sababu ya chuki na si kwa sababu ya kifalsafa tu?

Kwa sababu, kama una mahaba na mtu, na kama hutumii sana akili kufikiri, unaweza kirahisi sana kumuona mtu yeyote anayemkosoa mtu unayempenda kwamba ana chuki tu.

Mfano tuseme, wewe unampenda Ridhiwani, mapenzi yako yamekufanya uwe kipofu usione mapungucu yaje, mtu akiyasema unaona ana chuki, kwa sababu ya mahaba yako. Hapo utalazimisha anayemkosoa Ridhiwani awe anakosoa kwa chuki?

Utasemaje anayekosoa anakosoa kwa chuki?

Wakati si lazima kila mtu amkubali Ridhiwani, na si lazima kila anayemkosoa Ridhiwani amkosoe kwa chuki.

Sasa unajiridhisha vipi hii ni chuki, na si hoja ya kifalsafa, kwa mfano, ya kukosoa upungufu wa meritocracy, kukisoa nepo babies, nepotism, etc?

Kwa nini unaona Ridhiwani anakosolewa kwa chuki na si hoja za kifalsafa?

Unaelwa hata tofauti?
 
Mkuu,

Inawezekana una hoja.

Ila pia, kuna tabia ya kizembe ya kuona kila ukosoaji ni chuki.

Kuna ukosoaji kutokana na kutomkubali mtu kifalsafa tu.

Sasa unawezaje kujiridhisha hapa mtu kakosoa, kaponda, kwa sababu ya chuki na si kwa sababu ya kifalsafa tu?

Kwa sababu, kama una mahaba na mtu, na kama hutumii sana akili kufikiri, unaweza kirahisi sana kumuona mtu yeyote anayemkosoa mtu unayempenda kwamba ana chuki tu.

Wakati si lazima kila mtu amkubali Ridhiwani, na si lazima kila anayemkosoa Ridhiwani amkosoe kwa chuki.

Sasa unajiridhisha vipi hii ni chuki, na si hoja ya kifalsafa, kwa mfano, ya kukosoa upungufu wa meritocracy, kukisoa nepo babies, nepotism, etc?

Kwa nini unaona Ridhiwani anakosolewa kwa chuki na si hoja za kifalsafa?

Unaelwa hata tofauti?
Ni kawaida ya wajinga ukihoji utendaji wake ofisini atakwambia unamwonea wivu

Hili liko kihisia zaidi,

Wapuuze tu
 
It's not about what you know, but who you know.

Connection/jina goes a long way kuliko elimu, maarifa, weledi wako ever will. Naibu waziri wa elimu ana elimu au ujuzi gani? Ila anaogopwa hadi na waziri mkuu.
 
Back
Top Bottom