G55 vs Nyerere, Pemba 2000 vs Mkapa, na Warioba vs Kikwete.
Vipindi hivi vitatu vilitikisa mjadala kuhusu mustakabali wa Muungano, lakini hatimaye havikuzaa Tanganyika au Zanzibar huru.
Leo tunajiuliza swali lilelile:
Je, kipindi cha Samia Suluhu Hassan ndiyo tutatoboa?
Je, tutafika kwenye muundo mpya wa Muungano, serikali tatu, au hatimaye Tanganyika na Zanzibar kuwa nchi huru?