Kikwete aliona mbali sana kwamba ni kheri Slaa kuwa rais kuliko Tundu Lissu

deblabant

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2022
Posts
3,040
Reaction score
4,529
Jamaa amekabidhiwa chama majuzi tu lakini kimeshinda yeye siasa kwake ni kurumisha mitusi mwanzo mwisho. Kwake hakina pont of consensus hata kidogo.

Inawezekana ana akili ya darasani ili hekima zero.

Alichapwa risasi 32 mama akaenda kumtoa huko ughaibuni kwa kumhurumia na baada ya kufika akaliqnzisha against aliyemwokota na kumuonea huruma badala ya kwenda naye taratibu mana ameshaonesha nia.
 
ok.🐒
 
Wahi kumuona daktari wa afya ya akili, huu uandishi ni dalili kubwa ya tatizo la afya ya akili.
 
Grade ya mwisho ya binadamu hapo Lumumba, ambao hata kusoma na kuandika kwa ufasaha ni tatizo ndio huwa mnatumwa kufanya hizi kazi za uchawa.

Issue ya kikwete kuhusu Lissu kuwa mbunge haihusiani na ulichoandika hapo.
Umetoka na panga kali lenye makali kuwili dhidi ya chawa huyu mwenye utindio wa ubongo.

Huyu NI chawa Tlaatlaah Katika ID nyingine anaanzisha uzi na kujijibu..Jinga sana
 
Jamaa amekabidhiwa chama majuzi tu lakini kimeshinda yeye siasa kwake ni kurumisha mitusi mwanzo mwisho. Kwake hakina pont of consensus hata kidogo.

Inawezekana ana akili ya darasani ili hekima zero.

Alichapwa risasi 32 mama akaenda kumtoa huko ughaibuni kwa kumhurumia na baada ya kufika akaliqnzisha against aliyemwokota na kumuonea huruma badala ya kwenda naye taratibu mana ameshaonesha nia.
Pumbavu zako, Lisu hakumuomba Samia ruhusa ya kurudi nchini maana hakukufukuzwa, bali alimkimbia dhalimu magu. Kama alionyesha nia kwanini alipoambiwa asaini makubaliano kwa maandishi yeye na chama chake waligoma? Lisu hataki huruma ya yoyote zaidi ya haki, alichofanya ni kusema ukweli kuwa na Samia na chama chake ni walaghai na ushahidi akaweka, sio mambo ya kutuonyesha wema wa kiki, wakati uhalisia unakataa.
 
Jamaa amekabidhiwa chama majuzi tu lakini kimeshinda yeye siasa kwake ni kurumisha mitusi mwanzo mwisho. Kwake hakina pont of consensus hata kidogo.

Inawezekana ana akili ya darasani ili hekima zero.

Alichapwa risasi 32 mama akaenda kumtoa huko ughaibuni kwa kumhurumia na baada ya kufika akaliqnzisha against aliyemwokota na kumuonea huruma badala ya kwenda naye taratibu mana ameshaonesha nia.
Tatizo lako hujui mtu mwenye msimamo thabit (principled)
Umesahau Abdul akisindikizwa na Wenje walitaka kumuhonga tena mishahara yake ya halali AKAKATAA.
Nyie mnadhani sisi ni manyani kama Freeman ambaye ameuza utu wake kwa kutegemea arafidiwa Bilcanas.
 
Jamaa amekabidhiwa chama majuzi tu lakini kimeshinda yeye siasa kwake ni kurumisha mitusi mwanzo mwisho. Kwake hakina pont of consensus hata kidogo.

Inawezekana ana akili ya darasani ili hekima zero.

Alichapwa risasi 32 mama akaenda kumtoa huko ughaibuni kwa kumhurumia na baada ya kufika akaliqnzisha against aliyemwokota na kumuonea huruma badala ya kwenda naye taratibu mana ameshaonesha nia.
Sasa kwanini hakuwa Raisi?
 
🖕
 
Ameshapaniki huyu. Mtafutieni maji anywe haraka kabla hajaanguka na kupoteza fahamu.
 
Back
Top Bottom