Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Amevaa msuli halafu anajidai kupiga samasoti hadharani huku hajavaa kimwanandani aka kyupinaizesheni!Jamaa bogus huyo hadi keshokutwa asubuhi.Grade ya mwisho ya binadamu hapo Lumumba, ambao hata kusoma na kuandika kwa ufasaha ni tatizo ndio huwa mnatumwa kufanya hizi kazi za uchawa.
Issue ya kikwete kuhusu Lissu kuwa mbunge haihusiani na ulichoandika hapo.