Innocent Kirumbuyo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 4,641
- 4,457
[emoji3][emoji3][emoji3] hiyo ni barua yako kwa uliyemCC au?Cc: FaizaFoxy...[emoji181]
Huu msimu ushanipita, ngoja nisubiri msimu wa mwakaniHahahaha
Uje bhana ukute na wewe msimu huu utakuangukia
Ongea polepole mkuu, ujue yule kigagula namzimia hivohivyo....[emoji12] [emoji12] [emoji12][emoji3][emoji3][emoji3] hiyo ni barua yako kwa uliyemCC au?
[emoji23][emoji23][emoji23] hana shida yule, ilimradi ukubali masharti yake mawili tu(kama huna sifa hizo)Ongea polepole mkuu, ujue yule kigagula namzimia hivohivyo....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
HahahahHuu msimu ushanipita, ngoja nisubiri msimu wa mwakani
Toba....[emoji87] [emoji87][emoji23][emoji23][emoji23] hana shida yule, ilimradi ukubali masharti yake mawili tu(kama huna sifa hizo)
1.Ukubali kuslimu
2.Uvue gwanda uvae gamba
[emoji15] [emoji15] [emoji15] Mbona umeshtuka ulidhani atakuomba hela kama mlivyozoea?Toba....[emoji87] [emoji87]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mkuu, misina mahusiano mazuri na hii lugha ya bepari. Labda hadi ni....[emoji481] [emoji481][emoji15] [emoji15] [emoji15] Mbona umeshtuka ulidhani atakuomba hela kama mlivyozoea?
Btw, naomba unitafsirie hii barua ya mtafutaji wa mtafutaji maana nimetoka kapa mwenzio
Hahahahahha umenichekesha san mweeehTunauona, sema bado tuko tunatafuta mkalimani kwanza. ...maana lugha chonganishi hiyo
Google translateKwani uzi ni wakizungu au kiswahili?
HahahahahahahahTatizo lugha ilio tumika mkuu... Nani wakutaka kujing'ata kwasababu ya lilugha lililo letwa na jahazi....[emoji45] [emoji45] [emoji45]
Woiiii....uache tu uzi unipiteGoogle translate
Ngoja nimuiteee Jolie JolieWoiiii....uache tu uzi unipite
Hahaha hayupo kabisaNgoja nimuiteee Jolie Jolie
Umempeleka wapiiiHahaha hayupo kabisa