A letter to Miss Natafuta the loving one

A letter to Miss Natafuta the loving one

Ongea polepole mkuu, ujue yule kigagula namzimia hivohivyo....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji23][emoji23][emoji23] hana shida yule, ilimradi ukubali masharti yake mawili tu(kama huna sifa hizo)
1.Ukubali kuslimu
2.Uvue gwanda uvae gamba
 
[emoji23][emoji23][emoji23] hana shida yule, ilimradi ukubali masharti yake mawili tu(kama huna sifa hizo)
1.Ukubali kuslimu
2.Uvue gwanda uvae gamba
Toba....[emoji87] [emoji87]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Toba....[emoji87] [emoji87]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] Mbona umeshtuka ulidhani atakuomba hela kama mlivyozoea?

Btw, naomba unitafsirie hii barua ya mtafutaji wa mtafutaji maana nimetoka kapa mwenzio
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] Mbona umeshtuka ulidhani atakuomba hela kama mlivyozoea?

Btw, naomba unitafsirie hii barua ya mtafutaji wa mtafutaji maana nimetoka kapa mwenzio
Mkuu, misina mahusiano mazuri na hii lugha ya bepari. Labda hadi ni....[emoji481] [emoji481]
 
Lugha yenyewe unatuibia tu errors kibao. Bora ungeweka kwa kiswahili hata miss natafuta angekujibu
 
Umesahau kuweka dedikesheni

Bob marley - waiting in vain.

Ila mkuu ungetumia kiswahili tu,hili yai ulilotema humu ni eksepsheno.
 
Back
Top Bottom