A- level school mwanza.

A- level school mwanza.

Tidito L

Member
Joined
Jan 23, 2011
Posts
97
Reaction score
16
Jamani watu wa mwanza,nataka shule yenye mchepuo wa EGM boys bording priveat nzuri,niweze kumpeleka kijana wangu.
Mwenye kujua naomba anijuze niwai chukua form.
 
Boarding zote choka mbaya,mpeleke lake sec.is the best school nowdays..
 
dah shule yangu hii, may b nowdays inaweza ikawa poa, ila back na days khaa we real had fun, RIP msiangi...
 
Jamani watu wa mwanza,nataka shule yenye mchepuo wa EGM boys bording priveat nzuri,niweze kumpeleka kijana wangu.
Mwenye kujua naomba anijuze niwai chukua form.

Mkuu mpeleke Geita Sekondary. Ni wazuri kwa A-level ila O-level si nzuri. Kwa uhakiki gonga HAPA na HAPA
 
Back
Top Bottom