Daaa hapoo hakunaa hatakozii mojaa ya afya ambayoo unaweza pata kwa degree labda diploma unaweza sasaa inategemeana na wewe kwanini ulisoma pcb na status ya nyumbani kwenu minakushaurii aaply vyuo vya afya diploma vya serikali huwahavifukuzii mtuu ada na huwa vinaadvantage ya kula na kulala hapohapoo lasivyoo utaishiaa SUA kwenye kozii ngumuu ambazo hazinaajiraa na ualimuu umaskiniii