A-Level ya miaka ya nyuma PCB div 3

A-Level ya miaka ya nyuma PCB div 3

hitler2006

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2014
Posts
489
Reaction score
454
Msaada wadau, nina Div 3 pt 14

Phy - E, Chem - E, Bios - D

Kwa hii BRN ni sawa na pt ngapi?

Na course zipi naweza omba? Ushauri please...
 
Daaa hapoo hakunaa hatakozii mojaa ya afya ambayoo unaweza pata kwa degree labda diploma unaweza sasaa inategemeana na wewe kwanini ulisoma pcb na status ya nyumbani kwenu minakushaurii aaply vyuo vya afya diploma vya serikali huwahavifukuzii mtuu ada na huwa vinaadvantage ya kula na kulala hapohapoo lasivyoo utaishiaa SUA kwenye kozii ngumuu ambazo hazinaajiraa na ualimuu umaskiniii
 
Back
Top Bottom