A-level za Uganda za wasichana

Kifimbo Cheza

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2011
Posts
253
Reaction score
116
Nisaidieni natafuta shule ya a level Uganda ya wasichana kwa ajili ya binti yangu, anadiv 4 points 27. Kapata hist D, eng C, geo D, bio D, chem D, math D, kisw D. Naomba mwenye ufahamu wowote wa shule za huko anisaidie.
 
Sikushauri mwanafunzi tena binti umpeleke Uganda, labda Kama huyo binti humpendi na hela zako huzihurumii
 
Ina maan Uganda wanapokea Div kirahisi namna hiyo? Bila kuwa na credits?
 
Nisaidieni natafuta shule ya a level Uganda ya wasichana kwa ajili ya binti yangu, anadiv 4 points 27. Kapata hist D, eng C, geo D, bio D, chem D, math D, kisw D. Naomba mwenye ufahamu wowote wa shule za huko anisaidie.
kama kweli unampenda bint yako usifikirie kumpeleka kule,tafuta shule nzuri hapa hapa arudie...utajuta.
 
tuwasiliane nitakusaidia najua shule nzuri za ug,na usisikilize wa apo juu,kwan shule zinatofautiana,kuna shule nzuri,tuwasiliane nikuconnect na watu wangu wa karibu walioko uko
 
ni pm tu ila unataka mji gani,fortporto.kasese,iinja na nk kampala sikushauri
 
Huyu binti ungemtafutia chuo hapa Tanzania aanze na certificate ya miaka miwili, akifanya vizuri ataomba kujiunga Advanced Diploma au degree, wale wenzake watakao pitia A' Level hawatamwacha. Lakini mtoto wa kike kumpeleka Uganda ataharibika na shule hatofanya vizuri (talking from experience).
 
tuwasiliane nitakusaidia najua shule nzuri za ug,na usisikilize wa apo juu,kwan shule zinatofautiana,kuna shule nzuri,tuwasiliane nikuconnect na watu wangu wa karibu walioko uko
Mmpe maelekezo hapa,
Kwani lazima akutafute au una yako?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Ndugu yangu sikiliza ushauri Uganda hakufai kabisa watoto wengi wamerudi wakiwa wameharibika ni bora ufuate ushauri wakumpeleka anze na certificate,kurudia nako taabu niliona wengi repeaters hawafanyi vizur sijui wanakuwa psychologically affected
 
Wanaosahihisha ndio wawanakua na tatizo hili
 
Jaribu gayaza girls au st lawrence. Aki-convert matokeo hayo anaweza kupata nafasi. Ni shule nzuri n malezi mazuri pia.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mkuu sasa hv elimu ipo uganda, nina div 3-24 lakin natarajia kwenda Uganda kupiga A,level huko comb ya science,
 
Ina maan Uganda wanapokea Div kirahisi namna hiyo? Bila kuwa na credits?

UG wanachukua D 5 na kuendelea lakin sisi wabongo na C zetu 3 lakin hatuwakamati kielimu, natarajia nami kwenda huko kupiga kitabu nyie bakieni na hizo Necta zenu.
 
Ufanyie kazi ushauri huu. Kila la heri.

ndio maana mleta thread kataka ampeleke shule yenye maadili, pia hata hapa bongo kuharibika kupo inategemeana na mazingira na mwanafunzi mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…