Kifimbo Cheza
JF-Expert Member
- Nov 13, 2011
- 253
- 116
Nisaidieni natafuta shule ya a level Uganda ya wasichana kwa ajili ya binti yangu, anadiv 4 points 27. Kapata hist D, eng C, geo D, bio D, chem D, math D, kisw D. Naomba mwenye ufahamu wowote wa shule za huko anisaidie.