patience96
JF-Expert Member
- Aug 19, 2011
- 1,353
- 575
Kabisa Iselamagazi.Mkuu, tungekuwa na robot ya namna iyo kwa ajili ya ku-monitor hasa viongozi wetu wa serikali, nadhani masuala ya Ufisadi yangekoma nchi hii!!!
Mom: Hahahahaha! After all he is your son! (Robot slaps mom)
Najaribu kufikiria nini kilifuata baada ya hapo...
Au kungekuwa na robot apa kwenye hii jukwaa nakumunitor repeated posts kisha analabwa kibao atakaye rudia rudia post hehehe aisee wakelambwa wengi maana cku iz naona hamna mapya ni yale yale yanarudiwa.