A. Mahimbo apeleka pingamizi kwa Pengo dhidi ya Dr Slaa

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2010
Posts
7,264
Reaction score
678
Katika hali inaonesha kutolidhika na pingamizi aliloweka mwaka 2010 dhidi ya Dr Slaa kumchukulia mke wake
Mr Aminiel Mahimbo akiongea na gazeti la Rai amesema anapeleka pingamizi kwa Pengo ili azuie ndoa ambayo inategemewa kufugwa tarehe 21 july.

Mr Mahimbo amaongeza zaidi kuwa alikuwa kimya muda mrefu maana bado alikuwa anatafakari kupata mwafaka
kutaka kwa Dr Slaa kumrudishia mke wake

Mwandishi wa Rai alimuuliza zaidi, kwanini wewe usiyamalize na Dr slaa badala ya kweyapeleka kwa pengo? Mahimbo alisema Dr Slaa anajiandaa kufunga ndoa tarehe 21 july njia rahisi ni kuwafikisha kwa pengo ili wazuie ndoa hiyo.
:israel::israel::israel:

Sosi:Rai nguvu ya Hoja


 
Wanaizuia kwa sheria ipi? Ya kidini (ambayo inamzuia Dr. Slaa kuoa bila kupata kibali toka kwa Pope kutokana na ngazi ya utumishi aliyokuwa ameifikia) au kwa kuwa anamuoa mke wa mtu?
 
hayaaaaa yetu macho na masikiooooooooooo
 
Walimtumia huyu bwana 2010 but it didnt work, sasa what makes them think that this time atafanikiwa? And assume ndoa haifungwi, ndio kusema Josephine atarudi kwake? Halafu huyu bwana si alishapata talaka?

But also the timing. Rose Kamili anaweka pingamizi, na huyu bwana naye anaweka pingamizi!! mmm.....
 
huu mwaka wa dr. Slaa..namwombea Mungu atoke salama.!
 
anatumika kivipi?
Mbona hiko wazi kuwa anatafuta haki yake?

Dr.Kupeng'e,

..sasa mwanamke kazaa na jamaa mwingine, what does Mahimbo want?

..hata kama ndoa ya Mahimbo na Josephine ilifungwa ktk Kanisa Katoliki, kitendo cha Josephine kuzaa nje ya ndoa ni ground tosha ya Mahimbo kudai talaka na kupewa.

..what Mahimbo needs is to move on and be free. kwanini aendelee kuwa mtumwa na mfungwa wa ndoa yake na Josephine??
 
anatumika kivipi?
Mbona hiko wazi kuwa anatafuta haki yake?

Hivi wewe kwa akili yako unaweza kumtaka mwanamke aliyekuacha akaenda kuishi na mwanaume mwingine hadi wamezaa mtoto! Unaweza kuendelea kumwita ni mkeo eti kwakuwa tu una cheti cha ndoa! Unadhani ndoa ni cheti au ni uhusiano!? Shtuka!
 
haya santuri ya mwaka 2010 imegeuzwa lakini nyimbo ni zilezile za Side A
 
Ni hiyo ni katika kutafuta uhaueni baada ya mambo kwenda arijojo hasa upande wa serikali.
 
Hakuna kitu hapo zaidi ya siasa!
 
Da huyu jamaa ana uvumilivu yaani kukanyagiwa kote mpaka anazalishiwa naamini hana uchungu labda anataka kitu kidogo, mpeni
 


Kwani sheria za tanzania zinasemaje kuhusu mtu kuchua mke wa mtu na akajitangazia kumuoa?
 
slaa aliwahi kuoa hapo mwanzo? Alishajitoa upadre ana haki ya kuoa.

Rose kamili aliolewa na slaa? Kama hakuolewa na slaa, na alizaa nae, hawezi kuzuia ndoa, anachoweza kudai ni matunzo ya watoto kama wapo chini ya miaka 18

je huyo josephine aliolewa? Na aliolewa wapi? Kama hakuolewa kanisani, na ndoa yake alofunga popote pale (kama ipo) mradi si kanisani, ilivunjwa?
Kama ilivunjwa yupo huru kuolewa.....

Ila kumbuka katoliki inatambua ndoa iliyofungwa kanisani tu, (kama hakufunga ndoa kanisani, na ndoa hiyo imevunjwa kisheria, josephine anahaki ya kufunga ndoa ya kanisa.....as long as ni mkristo)

huu ndo uelewa wangu, wataalamu waje kuchambua zaidi.....
 
sasa wewe umemind nini??
Kama mahakama imeshindwa kumpa haki pengo anauwezo uwo? pengo ndo nani labda kwa mfano??

Kama wewe ni RC utanielewa kabla ya ndoa kufungwa uwa wanaweka matangazo matatu kanisani
kujua kama kuna pingamizi lolote juu ya wale wanaofunga ndoa

Sasa hii itakuwa ndo furusa yenyewe kwa Mihambo kupeleka pingamizi kwa Pengo na kanisa analotaka kufungia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…