Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo mengine mtu anafanya anakuwa anajidhalilisha mwenyewe, wanawake wamejaa kila kona ya nchi hii, kama mtu unaona huyu mmoja anakuzingua unaachana naye unatafuta mwingine.
Hata kama Josephine asipoolewa na Dr. Slaa, mahimbo ana uhakika gani kwamba ndio atarudi kwake??
Walimtumia huyu bwana 2010 but it didnt work, sasa what makes them think that this time atafanikiwa? And assume ndoa haifungwi, ndio kusema Josephine atarudi kwake? Halafu huyu bwana si alishapata talaka?
But also the timing. Rose Kamili anaweka pingamizi, na huyu bwana naye anaweka pingamizi!! mmm.....
Hivi Mahimbo ana mke kwa sasa au yupoyupo?
anatumika kivipi?
Mbona hiko wazi kuwa anatafuta haki yake?
Mahimbo Anatumika
Hivi Mahimbo ana mke kwa sasa au yupoyupo?
Hana mke ndo anataka mke wake sasa
Hivi Mahimbo ana mke kwa sasa au yupoyupo?
Mahimbo anachotaka ni mkewe tu ndo mana anapeleka pingamizi kwa pengo
Hana mke ndo anataka mke wake sasa
Mahimbo ni Senior Bachelor...
Mahimbo ni Senior Bachelor...
Mahimbo Anatumika
Jamani huyu bwana alipewa nafasi ya kuitetea ndoa yake na kuleta mashahidi ambao walimuangamiza kabisa kwa kumueleza yeye ni nani.
Alishindwa kuitetea ndoa kwa wazee wa kanisa na wakaridhia iende mahakamani ndani ya miaka miwili tumelishughulikia hili na hatimae mahakama ikaendesha shauri kwa miezi minne,na aliposhindwa kuishawishi mahakama .
Nilipokea Talaka yangu kwa kupitia taratibu zote.