A. Mahimbo apeleka pingamizi kwa Pengo dhidi ya Dr Slaa

Penzi ni kikohooozii kulificha huliweeeziii jamaa bado anamzimikia mkewe acheni adai haki yake
 



Acha kumkatisha mwenzako tamaa, Mahimbo anampenda kwa dhati mke wake japo Slaa alimchakachua, kwahiyo anachokifanya Mahimbo ni ku fight ili tunda lake la roho lirudi kwenye himaya yake
 

Hawa wote wanatakiwa wachunguzwe!!!
 
Kinatotusumbua sisi weusi ni umasikini wa mawazo. Mimi nadhani ingawa ni haki yake ningemuona wa maana kama angedai talaka tu mambo yaishe. Huyu mahimbo alikuwa akichukua mshahara haoneka wiki zima mpaka hela iishe ndiyo anarudi kwa josephine sasa alitegemea nini.

"if you see your marriage has reached a point where it can no longer be repaired, please seek for a legal divorce"
 
Hivi Mahimbo ana mke kwa sasa au yupoyupo?

Atapata wapi amezoea vya kunyanga huyu. Subiri watamtumia mpaka kusikokuwa halali kutumika. Mafisadi wamebakwa kila mahali wamehamia kwenye personal attack na wameshashindwa
 
Hana mke ndo anataka mke wake sasa

Huyu bwana Mahimbo alishapewa talaka, sasa kwa anataka kumuoa mtalaka wake? Nadhani kama hii issue ingekuwa ni madai ya Rose Kamili ningeona sawa, lakini, kitendo cha mtalaka kutoa pingamizi kipindi sawa na Rose kinabilisha equation yote kabisa na kujenga hisia za kisiasa. Most likely the looser will be Rose Kamili. What a shame!
 
Selikali mdebwedo imeyaibua haya ili ipumue, sijui mihambo na kamili wameteketeza kiasi gani cha kodi zetu.
 
Mahimbo anachotaka ni mkewe tu ndo mana anapeleka pingamizi kwa pengo

Mwanaume mzima anajidhalilisha kwa sababu ya njaa, kama mwanamke alikuacha anajua kwanini alifanya hivo, unalazimisha penzi? Kama ulikuwa humpapasi vizuri? Huyo ni binadamu kama wewe usimlazimishe akupende
 
Hana mke ndo anataka mke wake sasa

unachekesha...hiyo ndo aing'ang'anie makuu ya Josephine.? Haihitaji digrii ya heshima kama za DHAIFU kuelewa kuwa huyu bwana Amekatiwa Mpunga na TISS kwa mkakati hewa usio na tija.
 
Aise watu wengine ni wajinga sana huyo msamba sijui amehongwa na Chama Cha Mafisadi au vipi/ Jamani hawa watu wanataka nini Slaa jamani ? Wewe umechukua mke wake miaka yote huu na Slaa amekuwachia bure tena unataka nini. Sheria si sipo ya ndoa kwanza wewe umefunja ndoa ya Slaa alafu unakuja kuleta UNADARASA SAWA SAWA LAKINI AU CCM INAKUPELEDA PUBA . Mchinga sana huyo
 


Kama ulipokea talaka kupitia taratibu zote, iweje leo bwana Mahimbo aakusudie kupeleka barua ya pingamizi na malalamiko kwa Kardinali Pengo? na kama ni kweli hiyo Talaka ilitoka kwa bwana Mahimbo iweje aendelee kupinga kusudio lenu la kufunga ndoa tarehe 21/07/2012.

Pia kwanini huoni kama uliingilia Ndoa ya Dr. Slaa na mwanachama mwenzako wa CHADEMA Mama Rose kamili, ambaye nae ameamua kuweka pingamizi mahakamni?

kwanini hamtaki kukubali kwamba mahusiano yenu hayana baraka mbele za Mungu na hata jamii kwani kila upande wa mahusiano ya awali ambako mnatokea kuna malalamiko?
 

Acha uzinzi mama rudi kwa mmeo tamaa zitakumaliza ata maandiko hayakuruhusu ata kidogo,uzinzi huo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…