wewe huwa hutumii? Kama hujawahi fanya ngono utakuwa we ni ccm maana ndo WATAKAVITU..pambav.MNATAFUTA SINGO MPYA KUMSUMBUA DR KILA MARA ILA TUMEWAZOEA.
Jamani huyu bwana alipewa nafasi ya kuitetea ndoa yake na kuleta mashahidi ambao walimuangamiza kabisa kwa kumueleza yeye ni nani.
Alishindwa kuitetea ndoa kwa wazee wa kanisa na wakaridhia iende mahakamani ndani ya miaka miwili tumelishughulikia hili na hatimae mahakama ikaendesha shauri kwa miezi minne,na aliposhindwa kuishawishi mahakama .
Nilipokea Talaka yangu kwa kupitia taratibu zote.
Mwita Maranya mimi niko imara kama simba napepea kama kimbunga.Kimbunga habari za siku nyingi,
Well, wote wawili wanapigania "haki zao" lakini katika hali ya kawaida wanachofanya ni kutaka kuhakikisha kwamba Slaa haoi, kwa lugha nyepesi ni sawa na kusema liwalo na liwe.
Nina uhakika kwamba wote wawili wanatambua ukweli kwamba; Rose kamili anatambua kwamba Slaa hawezi kumuoa na mahimbo anatambua kwamba josephine hawezi kumrudia. Kinachofanyika hapa ni kukomoana tu!!!
kama mahakamani napo ameshindwa sijui sasa kwa Kardinali Pengo anatafuta nini, ndio maana katika hali kama hii wanaosema anatumika kisiasa sasa naanza kuwaamini.
Jamani huyu bwana alipewa nafasi ya kuitetea ndoa yake na kuleta mashahidi ambao walimuangamiza kabisa kwa kumueleza yeye ni nani.
Alishindwa kuitetea ndoa kwa wazee wa kanisa na wakaridhia iende mahakamani ndani ya miaka miwili tumelishughulikia hili na hatimae mahakama ikaendesha shauri kwa miezi minne,na aliposhindwa kuishawishi mahakama .
Nilipokea Talaka yangu kwa kupitia taratibu zote.
Duh Mama kumbe una talaka kibindoni! Lakini sasa Rose Kamili Sukum sijui kama naye ana talaka toka kwa Dr.! Kama wewe unayo basi ni haki yako kisheria kufunga ndoa na awaye yote ambayo naye hajafungwa kisheria. Lakini vipi mama tukirudi kiroho nakumbuka maandiko yakisema alichokiunganisha mungu mwanadamu asikitenganishe. Ndoa ya kikiristo ni ndoa takatifu na ni nila laini kwa wanandoa hivyo wanatakiwa waibebe hadi mwisho wa maisha yao kwa shida na raha (huwa sikapendi haka kaneno lakini ndivyo kalivyo).
Mama rudi katika ulimwengu wa roho acha ulimwengu wa dunia hii ambayo ni mapito tu.
Kimbunga kwanza nikufahamishe kwamba mimi si mshabiki wa mambo ya kuvunjika kwa ndoa for whatever reason, lakini pia siwezi kumlaumu mtu aliyeolewa ama kuoa ama mtu ameamua kuishi na mwenzake na hata kufikia hatua ya kuzaa watoto na baadae wakafika mahali wakaachana. Kuna mambo mengi sana yanayopelekea hali hiyo na wao wahusika ndio wanaofahamu uzuri ama ubaya wa mahusiano hayo.Mkuu Mwita Maranya Mahimbo anarudi kwenye ulimwengu wa roho kwa kuhitakia kwa Muadhama Polycarp Kardinali Pengo. Unajua katika dini (Ukristo) ni uzinzi tu ambao umeruhusiwa kumuacha mwenzio kwalo lakini pia ukifika kwa weredi wa dini wanatumia kale kamsemo ka samehe mara saba sabini hivyo hata kama umemkuta anazini unatakiwa umsamehe. Kwa kifupi ni kwamba ndoa ya kikristo ni ngumu sana kuvunjwa.
Hao watalaka wameamua kujidhalilisha tu kwani utabadilisha ukweli watu wameshazaa waachane nao mbona ni kama wanatumia nguvu nyingi sana kwenye mapenzi yasiyokuwepo.
ha kumbe hadi talaka anayo huyo Mahimbo basi there is no any encumbrance for you getting married Josephine all the best mammyJamani huyu bwana alipewa nafasi ya kuitetea ndoa yake na kuleta mashahidi ambao walimuangamiza kabisa kwa kumueleza yeye ni nani.
Alishindwa kuitetea ndoa kwa wazee wa kanisa na wakaridhia iende mahakamani ndani ya miaka miwili tumelishughulikia hili na hatimae mahakama ikaendesha shauri kwa miezi minne,na aliposhindwa kuishawishi mahakama .
Nilipokea Talaka yangu kwa kupitia taratibu zote.
Unalambishwa 25,000,000.00,
ujichafue,
pia um chafue X wako.
Pesa ni tamu,
Kiasi cha kuweka adabu pembeni,
Wakijua bei yako,
Waweza funua gauni la mama yako,
kuchungulia ulikotoka,
Kisa Fedha.
anatumika kivipi?
Mbona hiko wazi kuwa anatafuta haki yake?
we nawe mpana! kha! mi huwa nakuonaga tu, lolest!Mke wake si Josephine ndio anapambana kupata haki yake uchungu wa mke haujue mume.
we nawe mpana! kha! mi huwa nakuonaga tu, lolest!