A. Mahimbo apeleka pingamizi kwa Pengo dhidi ya Dr Slaa

A. Mahimbo apeleka pingamizi kwa Pengo dhidi ya Dr Slaa

wewe huwa hutumii? Kama hujawahi fanya ngono utakuwa we ni ccm maana ndo WATAKAVITU..pambav.MNATAFUTA SINGO MPYA KUMSUMBUA DR KILA MARA ILA TUMEWAZOEA.

Mkuu DALLAI LAMA kwani Rose Kamili Sukum anatoka Chama gani?
 
Last edited by a moderator:
Jamani huyu bwana alipewa nafasi ya kuitetea ndoa yake na kuleta mashahidi ambao walimuangamiza kabisa kwa kumueleza yeye ni nani.

Alishindwa kuitetea ndoa kwa wazee wa kanisa na wakaridhia iende mahakamani ndani ya miaka miwili tumelishughulikia hili na hatimae mahakama ikaendesha shauri kwa miezi minne,na aliposhindwa kuishawishi mahakama .
Nilipokea Talaka yangu kwa kupitia taratibu zote.

Duh Mama kumbe una talaka kibindoni! Lakini sasa Rose Kamili Sukum sijui kama naye ana talaka toka kwa Dr.! Kama wewe unayo basi ni haki yako kisheria kufunga ndoa na awaye yote ambayo naye hajafungwa kisheria. Lakini vipi mama tukirudi kiroho nakumbuka maandiko yakisema alichokiunganisha mungu mwanadamu asikitenganishe. Ndoa ya kikiristo ni ndoa takatifu na ni nila laini kwa wanandoa hivyo wanatakiwa waibebe hadi mwisho wa maisha yao kwa shida na raha (huwa sikapendi haka kaneno lakini ndivyo kalivyo).

Mama rudi katika ulimwengu wa roho acha ulimwengu wa dunia hii ambayo ni mapito tu.
 
Kimbunga habari za siku nyingi,
Well, wote wawili wanapigania "haki zao" lakini katika hali ya kawaida wanachofanya ni kutaka kuhakikisha kwamba Slaa haoi, kwa lugha nyepesi ni sawa na kusema liwalo na liwe.

Nina uhakika kwamba wote wawili wanatambua ukweli kwamba; Rose kamili anatambua kwamba Slaa hawezi kumuoa na mahimbo anatambua kwamba josephine hawezi kumrudia. Kinachofanyika hapa ni kukomoana tu!!!
Mwita Maranya mimi niko imara kama simba napepea kama kimbunga.

Duh hicho kizungumkuti: Josephine hawezi kurudi kwa Mahimbo na Dr. Slaa hawezi kumrudia Rose Kamili. Basi wafanye barter trade yaishe ya nini kutusumbua hapa.
 
Last edited by a moderator:
kama mahakamani napo ameshindwa sijui sasa kwa Kardinali Pengo anatafuta nini, ndio maana katika hali kama hii wanaosema anatumika kisiasa sasa naanza kuwaamini.

Mkuu Mwita Maranya Mahimbo anarudi kwenye ulimwengu wa roho kwa kuhitakia kwa Muadhama Polycarp Kardinali Pengo. Unajua katika dini (Ukristo) ni uzinzi tu ambao umeruhusiwa kumuacha mwenzio kwalo lakini pia ukifika kwa weredi wa dini wanatumia kale kamsemo ka samehe mara saba sabini hivyo hata kama umemkuta anazini unatakiwa umsamehe. Kwa kifupi ni kwamba ndoa ya kikristo ni ngumu sana kuvunjwa.
 
Last edited by a moderator:
Jamani huyu bwana alipewa nafasi ya kuitetea ndoa yake na kuleta mashahidi ambao walimuangamiza kabisa kwa kumueleza yeye ni nani.

Alishindwa kuitetea ndoa kwa wazee wa kanisa na wakaridhia iende mahakamani ndani ya miaka miwili tumelishughulikia hili na hatimae mahakama ikaendesha shauri kwa miezi minne,na aliposhindwa kuishawishi mahakama .
Nilipokea Talaka yangu kwa kupitia taratibu zote.

kumbe ulishapewa talaka,
sasa mahimbo anafikiri akienda kwa pengo itamsaidia nini?
Au anatafuta umaarufu?
 
Duh Mama kumbe una talaka kibindoni! Lakini sasa Rose Kamili Sukum sijui kama naye ana talaka toka kwa Dr.! Kama wewe unayo basi ni haki yako kisheria kufunga ndoa na awaye yote ambayo naye hajafungwa kisheria. Lakini vipi mama tukirudi kiroho nakumbuka maandiko yakisema alichokiunganisha mungu mwanadamu asikitenganishe. Ndoa ya kikiristo ni ndoa takatifu na ni nila laini kwa wanandoa hivyo wanatakiwa waibebe hadi mwisho wa maisha yao kwa shida na raha (huwa sikapendi haka kaneno lakini ndivyo kalivyo).

Mama rudi katika ulimwengu wa roho acha ulimwengu wa dunia hii ambayo ni mapito tu.

Mkuu Kimbunga, una taarifa zozote zinazothibitisha kwamba Dr. Slaa aliwahi kufunga ndoa na Rose Kamili?
Umewahi kujiuliza kwanini Rose Kamili hakwenda kushtaki kwa Kardinali Pengo na badala yake amekimbilia mahakamani?
 
Last edited by a moderator:
Huyo jamaa aseme tu anataka dau gani atulie mi naona anataka pesa na si mke hapo.
 
Mkuu Mwita Maranya Mahimbo anarudi kwenye ulimwengu wa roho kwa kuhitakia kwa Muadhama Polycarp Kardinali Pengo. Unajua katika dini (Ukristo) ni uzinzi tu ambao umeruhusiwa kumuacha mwenzio kwalo lakini pia ukifika kwa weredi wa dini wanatumia kale kamsemo ka samehe mara saba sabini hivyo hata kama umemkuta anazini unatakiwa umsamehe. Kwa kifupi ni kwamba ndoa ya kikristo ni ngumu sana kuvunjwa.
Kimbunga kwanza nikufahamishe kwamba mimi si mshabiki wa mambo ya kuvunjika kwa ndoa for whatever reason, lakini pia siwezi kumlaumu mtu aliyeolewa ama kuoa ama mtu ameamua kuishi na mwenzake na hata kufikia hatua ya kuzaa watoto na baadae wakafika mahali wakaachana. Kuna mambo mengi sana yanayopelekea hali hiyo na wao wahusika ndio wanaofahamu uzuri ama ubaya wa mahusiano hayo.

Pamoja na kuzingatia hiyo busara ya KiMungu ya kusamehe saba mara sabini lakini pia kuna busara ya kumuacha mke ama mume kwa kosa la uzinzi, sasa hapo ndipo shughuli ilipo, kwamba mahimbo akiamua kumuacha josephine kwa kosa la uzinzi sheria inamruhusu lakini akiamua kumsamehe sheria pia inamruhusu, lakini je josephine yuko tayari kurudiana na mahimbo? je nani anajua sababu za msingi za josephine kumkimbia mahimbo? tena amekwishajipatia talaka kupitia mahakama.!!
 
Last edited by a moderator:
Hao watalaka wameamua kujidhalilisha tu kwani utabadilisha ukweli watu wameshazaa waachane nao mbona ni kama wanatumia nguvu nyingi sana kwenye mapenzi yasiyokuwepo.
 
Nakuheshimu sana mzee wangu DR Slaa,
Hata hivyo naomba kusema upuuzi kidogo,

Mzee wangu inaelekea wewe ni hodari wa kupagaisha.
Pia mzuri wa kuchagua mbuyu safi wa kijihifadhi.

X wako kwa mbinde zote anakuta umrudie,

X wa kitu chako kipya naye usingizi hapati,
anahisi unafaidi kwa sana.

Panatamu hapo!
 
Ha haaa huyu bwana yuko na problem mingi kwana anaonekana "dhaifu" dume zima unanyanganywa mke unashtaki nini, inaonyesha toka mwanzo hakuwa wako. chapa lapa tafuta mwingine huyu dawa yake una tangaza ndoa kanisa lingine kisha unaenda kufungia mtaa mwingine ambao ni siri yako wakijashtuka uko ukumbini mnakula bata au honeymoon kabisa.
 
Unalambishwa 25,000,000.00,
ujichafue,
pia um chafue X wako.

Pesa ni tamu,
Kiasi cha kuweka adabu pembeni,
Wakijua bei yako,
Waweza funua gauni la mama yako,
kuchungulia ulikotoka,
Kisa Fedha.

Hao watalaka wameamua kujidhalilisha tu kwani utabadilisha ukweli watu wameshazaa waachane nao mbona ni kama wanatumia nguvu nyingi sana kwenye mapenzi yasiyokuwepo.
 
Jamani huyu bwana alipewa nafasi ya kuitetea ndoa yake na kuleta mashahidi ambao walimuangamiza kabisa kwa kumueleza yeye ni nani.

Alishindwa kuitetea ndoa kwa wazee wa kanisa na wakaridhia iende mahakamani ndani ya miaka miwili tumelishughulikia hili na hatimae mahakama ikaendesha shauri kwa miezi minne,na aliposhindwa kuishawishi mahakama .
Nilipokea Talaka yangu kwa kupitia taratibu zote.
ha kumbe hadi talaka anayo huyo Mahimbo basi there is no any encumbrance for you getting married Josephine all the best mammy
 
kweli upumbavu hauna shule nashangaa sana kwani mapenzi ya Slaa na Josephine yameanza jana basi wote ndio washtuke usingizini kupakaza wanayosema kama walikuwa na madai ya msingi wangekaa wenyewe wayamalize ningewaona wa maana sana ...moyo wa mtu ukishasema basi hata ungeweka vipaza sauti dunia nzima ni kumaliza nguvu zako bure.

Unalambishwa 25,000,000.00,
ujichafue,
pia um chafue X wako.

Pesa ni tamu,
Kiasi cha kuweka adabu pembeni,
Wakijua bei yako,
Waweza funua gauni la mama yako,
kuchungulia ulikotoka,
Kisa Fedha.
 
[QUOTE Well, wote wawili wanapigania "haki zao" lakini katika hali ya kawaida wanachofanya ni kutaka kuhakikisha kwamba Slaa haoi, kwa lugha nyepesi ni sawa na kusema liwalo na liwe.

Nina uhakika kwamba wote wawili wanatambua ukweli kwamba; Rose kamili anatambua kwamba Slaa hawezi kumuoa na mahimbo anatambua kwamba josephine hawezi kumrudia. Kinachofanyika hapa ni kukomoana tu!!![/QUOTE]

Wewe umesema lililo kweli... huko ni kusumbuana na kupotezeana muda
 
anatumika kivipi?
Mbona hiko wazi kuwa anatafuta haki yake?

Dr. Kupenge! nadhani hujui historia ya maisha ya Mahimbo na aliyekuwa Mke wake Josephine. Nikweli walifunga ndoa Kijitonyama Lutherani na walibahatika kupata watoto 2 lakini walitengana muda mrefu sana, mahimbo kwanza ni cha pombe alikuwa na wanawake wengi alifikia kuleta wanawake kwenye nyumba aliyoijenga Josephine ipo Kimara, huyu ni mwanaume wa aina gani??
Kifupi Josephine alipofunga ndoa na Mahimbo alipata kazi za kuhudumia wakimbizi kwenye makambi huko Kigoma pamoja na biashara zake nyingine aliweza kununua kiwanja akitegemea kuwa mumewe atamsaidia kwenye ujenzi lakini ilikuwa ni kinyume Josephine akipaa pesa akimtumia mume aendeleze ujenzi zinaishia kwenye pombe na wanawake, ikafikia hatua dada yake mahimbo akaingilia kati kuijenga kunusuru hilo, alishirikiana na wifi yake ambaye ni Josephine anawa anatumiwayeye pesa anaendeleza ujenzi hadi nyumba ikaisha, baada nyumba kuisha mahimbo aligoma kuhamia kule akasema hawezi kuishi kwenye nyumba ya mwanamke akawa anaendelea kupanga sinza, na ieleweke aliye mtafutia kazi bandarini mahimbo ni mashemeji zake yaani Kaka wa Josephine na mume wa dadayake Mahimbo.

hali iliendelea kuwa hivyo kila kukicha kesi kanisani,kwa wazee wa kanisa hata wana familia pia, mwishiwe josephine akajiamulia kuondoka na walitengana kwa muda mrefu miaka 5 kila mtuyuko kivyake na mahimbo anaishi na mwanamke mwingine na wanawatoto sasa anachopinga mwenzie asiolewe wakati yeye ameoa ni nini??

mimi ni mtu wa karibu sana na Mahimbo na kwa taarifa yako ni kweli Mahimbo anatumiwa na CCM hata sie tulisha muonya hataki kusikia ile nyumba ya josephine alioijega anaingangania ni yake wakati Josephine alishaiandikisha majina ya watoto wake ila mahimbo anataka kwenda kubadilisha hati aweke jina lake na huyo mwanamke anaeishi nae, ndipo ugomvi ulipoanzia hapo.

ikiwa wewe ni mwanamke utaweza kuishi na kiumbe huyu??? ujenge nyumba halafu uletewe wanawake ndani ya nyumba waototo wamo ndani je ni picha gani kwa watoto ama unawafundisha nini wanao??
 
Yaani Watanzania ni wanafiki wanafiki
wanaangaika weee
Tanzania maisha magumu..
Nchi inakoelekea ni kuwa na walio nacho na wasio nacho
eti sasa watu wanaumiza kichwa kwa mambo ya ajabu ajabu
 
Naomba serikali ituletee mwekezaji wa kigeni maana wanawake waliopo hawatutoshi vile tunagombaniana!
 
Back
Top Bottom