Jamani huyu bwana alipewa nafasi ya kuitetea ndoa yake na kuleta mashahidi ambao walimuangamiza kabisa kwa kumueleza yeye ni nani.
Alishindwa kuitetea ndoa kwa wazee wa kanisa na wakaridhia iende mahakamani ndani ya miaka miwili tumelishughulikia hili na hatimae mahakama ikaendesha shauri kwa miezi minne,na aliposhindwa kuishawishi mahakama .
Nilipokea Talaka yangu kwa kupitia taratibu zote.
Mjadala ulitakiwa uishe baada ya majibu haya.