A man and his son!

A man and his son!

Ernie

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2010
Posts
217
Reaction score
25
A man and his son were in an accident. The man died on the way to the Hospital but the Boy was rushed to surgery. The surgeon said i cant operate, that is my son! Howz that posibo?
 
Nina dukuduku moyoni.
Hao wote ni maiti<p>
A man and his son were in an accident. The man died on the way to the Hospital but the Boy was rushed to surgery. The surgeon said i cant operate, that is my son! Howz that posibo?
</p>
<p>&nbsp;</p>
 
duuh.mambo ya kuibiwa chakwako bila ya kufahamu.
these things exists in real lyf
 
Jamani sjapatiwa jibu bado!
 
huyo surgeon ni mama wa mtoto!

Mtoto ni product ya mama na baba
 
ikiwa surgeon ni mwanamke huyo mtoto ni wa kufikia/wa kambo na wote-huyo mtoto na baba yake walikuwa wanamtegemea huyo surgeon katika maisha yao hivyo kufa kwao ni ahueni ya kutua mzigo kwa surgeon
 
watu wengi wakiona surgeon wanadhani tu anaweza kuwa mwanaume.sasa wajue ata wamama huwa surgeon.the surgeon was the boy's mother.
 
mama Vick na Payuka...MMEPATA! eventhough si mimi nimepost swali...
 
Back
Top Bottom