A man identified as Munene arrested in Thraka nithi for slaughtering and cooking a dog. DPP Haji save the man

A man identified as Munene arrested in Thraka nithi for slaughtering and cooking a dog. DPP Haji save the man

Doncy monco

Member
Joined
Jul 26, 2019
Posts
38
Reaction score
104
Polisi katika Kaunti ya Tharaka Nithi imemkamata Mwanaume aitwaye John Munene akiwa nyumbani kwake katika Kijiji cha Karimba ambapo Polisi ilikuta nyama ya Mbwa ikichemshwa na nyingine imehifadhiwa ndani

Wakati akijitetea Mwanaume huyo amesema, aliamua kumchinja na kumpika mbwa huyo kwa kuwa alikuwa na njaa kwani alikuwa hajala kwa siku tatu zilizopita na alikuwa akimuaanda ili ale na Ugali

Hata hivyo, Mkurugenzi wa Mashtaka, Noordin Haji ameagiza kuachiwa kwa Mwanaume huyo na amemtaka Mkuu wa Upelelezi wa Kaunti hiyo kuhakikisha kuwa Munene amepewa chakula cha kutosha

Kifungu cha 8 (1) cha Sheria ya Kuzuia Ukatili kwa Wanyama kinasema, atakayekamatwa na hatia ya ukatili dhidi ya Wanyama atapigwa faini isiyozidi Ksh. 2,000 (Tsh. 44,284) au Kifungo kisichozidi miezi mitatu au vyote kwa pamoja

Aidha, sehemu ya pili ya kifungu hicho hutoa kinga kwa Mshtakiwa iwapo atathibitisha kwamba "wakati wa kosa hilo alikuwa na ushawishi wa kidini, ulioamuru kuuawa kwa mnyama kwa jinsi alivyouawa”

Lakini pia, Washtakiwa wanaweza kujitetea kwa kuthibitisha kuwa mnyama aliuawa kwa matumizi binafsi na kwamba nyama ya mnyama huyo haikuwa kwa ajili ya kuuza au kumpa mtu mwingine yeyote


1567776492951.png

Police in Tharaka Nithi County have arrested a man for allegedly slaughtering and cooking a dog.

The man identified as Munene was apprehended on Thursday at his home in Karimba village where police found part of the dog meat boiling in a sufuria while the other had been stored in the house.

In his defence, however, the man claimed he decided to slaughter the dog due to hunger. He alleged that he had not had a meal for the last three days and was preparing to have the dog meat with Ugali.

He is expected to be be arraigned in court on Friday.

Section 8 (1) of the Prevention of Cruelty to Animals Act states that one is liable to a fine not exceeding Ksh.2,000 or to a term of imprisonment not exceeding three months or to both for the “cruel slaughtering of animals.”

It states that: “Any person who, whether in any slaughterhouse or abattoir or in any place than a slaughterhouse or abattoir, and whether for human consumption or not, slaughters an animal (a) in such a manner as to cause it more suffering than is necessary; or (b) in the sight of any another animal awaiting slaughter, shall be guilty of an offence and liable to a fine not exceeding two thousand shillings
or to a term of imprisonment not exceeding three months or to both.”

Part two of the section, however, provides that it shall be a defence for the defendant to prove that “at the time of the alleged offence he was of a religious persuasion that prescribed the slaughter of an animal in the manner in which it was slaughtered.”

The accused could also defend themselves by proving that the animal was slaughtered for private consumption and that the
meat of such animal was not the subject of sale, barter or exchange.”

Director of Public Prosecutions Noordin Haji has ordered the release of a man arrested in Tharaka Nithi County on Thursday for cooking dog meat over hunger.

Mr Haji, in a message on Twitter, further directed the county's criminal investigations boss to make sure the man gets adequate food.
 
Back
Top Bottom