A man kills Wife and three children in Roysambu, Kiambu

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
A man has reportedly strangled to death his wife and three children at Marurui area in Roysambu, Kiambu County.

The incident is reported to have occurred in the early hours of Monday morning after which the suspect fled.

The bodies of the woman and the three children aged 14, 8, and 6 were removed from the house after police officers arrived at the scene.

The deceased children who were Class Eight and Four, with the youngest being in Class Two.

Police have since began investigations into the bizarre killing
----------

Mwanaume mmoja amewaua mke wake pamoja na watoto wao watatu wakiwa nyumbani kwao katika eneo la Marurui, Roysambu

Tukio hilo limetokea mapema asubuhi ya leo ambapo baada ya kufanya mauaji hayo mwanaume huyo alikimbilia kusikojulikana

Sababu ya kufanya hivyo bado haijajulikana lakini Polisi wameshaanza uchunguzi ili kubaini alipokimbilia Mtuhumiwa na sababu ya kufanya tukio hilo

Watoto hao walikuwa na umri wa miaka 14, 8 na 6 na walikuwa wakisoma darasa la 8, la nne na la pili
 
Huo ndio ukatili wa wakenya, na bado wanataka tuwaruhusu waje Tanzania kutuambukiza huu unyama, hii ni kama mara ya kumi kutokea ndani ya kipindi cha mwaka mmoja huko Kenya.
 
So sad. Meanwhile Kule bongo wanawachija na kuwauza albino kila uchao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…