Dr Adam Francis
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 790
- 1,316
The man of the people ni riwaya ya kiada katika somo la English Literature kwaajili ya mtihani wa Taifa wa kidato cha nne. Iliandikwa na Chinua Achebe mwaka 1966 kujadili siasa, rushwa na ubinafsi wa viongozi wa kiafrika baada ya uhuru.
Nachelea kusema, kama hukuisoma riwaya hii bado huzijui tabia, hila na hadaa za wanasiasa. Niimani yangu riwaya hii ilifanywa riwaya ya lazima kwa kila mwanafunzi wa kidato cha nne kuisoma ili kutuandaa kuwa raia wawajibikaji katika siasa za nchi yetu.
Kwa kifupi sana simulizi hii inamuhusu mtu na mwalimu wake, mwanafunzi akiwa ni Odili na mwalimu akiwa ni Chief Nanga ambaye ndiye the man of the people. Wawili hawa walioanza maisha wakiwa wameshibana sana katika kijiji cha Anata.
Baada ya miaka 16, Chief Nanga akiwa amefanikiwa sana kisisa na kuwa waziri wa utamaduni, akiwa katika ziara yake kwenye shule ya Grammar anamtambua mwanafunzi wake Odili, ambaye wakati akiwa amefanikiwa kuwa mwalimu. Chief Nanga anafurahi, anaeleza jinsi gani Odili alivyokuwa mwanafunzi mzuri na anamkaribisha Odili nyumbani kwake, mjini Bori, ambako ndio makao makuu ya nchi yao na kumwahidi kumpa kazi nzuri kuwa katibu wake.
Baada ya Odili kuanza kufanya kazi na Chief Nanga anagundua jinsi maisha ya Nanga yalivyojaa anasa, ufisadi, rushwa, wizi na unafiki. Mwishowe Nanga anamuiba na mchumba wa Odili kwa nguvu yake ya pesa, jambo linalopelekea Odili kuondoka kwa Nanga na kwenda kwa rafiki yake wa chuo aitwae Max ambaye ni mwandishi wa habari kwa wakati huo.
Odili
"Max, I need a place to stay. Something happened at Nanga’s... I can’t go back there."
Max
"What? Don’t tell me our honorable minister has finally shown his true colours?"
Odili anaamua kumsimulia rafiki yake Max kila kitu kuhusu maisha ya Chief Nanga, mwalimu wake wa zamani na waziri wa utamaduni kama ifuatavyo:
Nanga started as a school teacher before entering politics, leveraging his charisma to present himself as a "man of the people" His charm and ability to connect with ordinary citizens made him appear approachable, masking his greed, rises to become the Minister of Culture in the ruling part called People’s Organization Party
He exploits the post-independence euphoria, convincing people that he represents their interests while embezzling public funds.
He accepts bribes, diverts state resources, and lives lavishly while the masses suffer.
His political dominance is evident in his ability to manipulate elections, suppress opposition, and live extravagantly at the public’s expense.
He manipulates the system, ensuring loyalty through patronage rather than governance.
He said “What we are doing is not politics. It is a matter of life and death.”
"We must deal with such people before they deal with us"
"Trade-union leaders should be put in detention"
He claims to support African solidarity but rejects local products.
Pretends to be humble but boasts about his wealth and titles.
“A man of the people indeed! He had used that phrase so often that he probably believed it himself.”
When he visited Britain, "The greatest delight of his entire visit to Britain was when, for the first time in his twenty-seven years, a white man—a taxi driver—carried his suitcase and said ‘Sir’ to him."
After all his hospitality—feeding me, promising scholarships—he steals my girl like a common thief!"
Max
"My dear Odili, did you really expect anything different? Chief Nanga is the rot we’re fighting—a man who uses power to take whatever he wants. This isn’t just about your girl; it’s about the system that lets men like him thrive."
Odili
"I’ll make him pay. I’ll ruin his plans to marry Edna—I’ll take her from him!"
Max
"Revenge? Is that all? Listen: if you want to hit Nanga where it hurts, join me in the Common People’s Convention. We’re forming a party to challenge these corrupt thugs in the elections. Unseat him. That’s the real vengeance."
Odili
"Politics? I’m a teacher, not a politician."
Max:
"That’s the very reason why we must act. Because the system is rotten. We can’t leave politics to the rascals and expect things to improve. Someone must show that there is another way." "We must now go into politics, Odili. The time has come for people like us to take a stand. We can’t just sit back and watch these old crooks destroy the country."
Odili:
"But Max, do you really think we can make any difference in such a rotten system?"
Max
What else can we do? Fold our arms and watch them kick the common man in the teeth? Even if we make only a small difference, it is a difference! And if nobody tries, then we deserve everything we get. No, Odil, we must fight, however we can!"
Odili
"Max, you shout yourself hoarse every week. What does it change? They just get richer, bolder."
"The people themselves, had become even more cynical than their leaders, Let them eat"
Max
"That's the point, Odil! Their boldness is the outrage! They think they can steal in broad daylight and no one will dare whisper! Look at this!"
"Just look! Did you see the contract figures for the new ministry building? Pure daylight robbery! And the Minister's nephew getting that exclusive import license? It stinks! We have the evidence, we have the platform in the Gazette. We have to publish, we have to show the people how rotten it is to the core! Silence is complicity now!"
Odil
"Chief Nanga had built out of his gains three blocks of seven-storey luxury flats at three hundred thousand pounds each."
Max:
"It reeks to high heaven! And they sit there in their big cars and fat bellies, laughing at us! Laughing at the people whose sweat pays for their thievery! We cannot let this stand, Odil! We have the evidence right here!"

"What else can we do? Fold our arms and watch them kick the common man in the teeth? Even if we make only a small difference, it is a difference! And if nobody tries, then we deserve everything we get. No, Odil, we must fight, however we can! We publish it all in the next
Odili
“I had long come to the conclusion that politicians were a breed of liars and crooks.”
“Our country was in the hands of people who had no respect for the law.”
After becoming disillusioned with Nanga’s corruption, Odili co-founds the Common People’s Convention (C.P.C), a rival political party aimed at challenging the P.O.P.
Baada ya marafiki hawa wawili kamua kuanzisha chama cha upinzani wanagombea ubunge, Odili dhidi ya Chief Nanga na Max dhidi ya Chief Koko. Vigogo hawa wawili wanajaribu kuwanunua hawa vijana ili wajitoe kugombea kama tunavyosoma;
Nanga
“Look here, Odili,” he said, “why are you behaving like a child? Do you think you are the only person who wants to go to Parliament? Or that the only way there is by fighting me? What is to stop you coming in at the right moment, eh? Do you think I’m not your friend? What do you want that I can’t give you?”
"Take your money and take your scholarship to go and learn more book; the country needs experts like you. And leave the dirty game of politics to us who know how to play it."
Odili
“I am sorry, sir,” I said. “I am not for sale.”
Nanga
“Who is talking about sale?” he asked, flaring up suddenly. “If you want to eat a toad, you look for a fat and juicy one.”
Maxwell Kulamo has more sense than you. He has already taken his money and agreed to step down for Chief Koko"
Taarifa kuwa Max kachukua mlungula inamshtua sana Odil, anaamua kujiridhidha kwa kumhoji Max kama kuna ukweli wowote wa tuhuma hizo;
Max
"I accepted Chief Koko’s bribe of one thousand pounds to pay for the minibus used during the campaign"
"We must use their own weapons. This is enemy money; why shouldn’t we take it?"
"Max insists that the paper he signed [with Chief Koko] has no legal importance and the money from the bribe will allow them to further fund their campaign."
Baadaye wanaendelea na compain, baada ya wazee kuzidiwa, Chief Koko anashauri baraza la mawaziri liridhie mauaji ya Max;
"What type of country is this? Said chief Koko. How can somebody wake up in the morning and talk about impeaching the President? ... This boy must be dealt with! ... We must kill him!"
Max anauwawa kwa kugongwa na gari la chief Koko akiwa katika harakati za kampeni. Odili anadai uchunguzi ufanyike serikali inakataa.
Government spokesmen eulogize Max hypocritically while suppressing investigations.
The election between Nanga and Odili turns violent, with Nanga’s thugs intimidating voters. The political instability leads to a military coup, overthrowing Nanga’s regime.
Tunapoelekea uchaguzi mkuu, ikiwa utapata muda unaweza ukajisomea riwaya hii. Ni imani yangu kuwa utapata kitu ambacho serikali ilikusudia kila mwanafunzi anayehitimu kidato cha nne awe amekipata.
View: https://vm.tiktok.com/ZMAYFk7tN/