Matokeo ntakupa asee, yaani bila ubishi. Aaah wapi kwani mi mchezaji wa simba au Yanga nishindie chipsi mayai?
Mi napiga vyakula vya uhakika sio vya ki-dada du na kisharobaro..🙂
haya bana nita kupm saa kumi na mbili na nusu kupata matokeo. mkuu.
Yeah, you are right, mimi kabla sijaona nilikuwa nyonde nyonde, lakini baada ya kuoa, nimekuwa na siha nzuri mpaka vibinti vinanitizama kwa matamanio..................!i thought it was supposed to be virse versa
Yeah, you are right, mimi kabla sijaona nilikuwa nyonde nyonde, lakini baada ya kuoa, nimekuwa na siha nzuri mpaka vibinti vinanitizama kwa matamanio..................!
hahahahaa., Mr ushauri upo? Aaah wapi nshathink BIG mkuu, haya maisha ya ndoa full stress. Mkuu hadi umri huu sijui ntamuoa nani, which means ntakutana naye ukubwani which means I won't be able to know everything about her past (behavior, mood, life style etc) which means there is more than 80% I will never get a compatible woman with me.
For those facts, ndoa ya Boman inaniita hakyanani.
I've already thought BIG mkuu gfsonwin
Nimempenda huyo divorced amejazia.
Mama Mdogo umetisha watu huku, to you single guys out there dont worry kama alivyosema Mtambuzi its vice versa.
Hili bandiko nimeliweka kwa nia njema siyo kumtisha mtu, nimelileta ili watu wasome hiyo hali halisi kifani (model), waji-fitishe, watafakari kulinganisha na hali halisi,na baada ya hapo wachukue hatua muafaka kufanya damage control. Ni hicho tu, maisha yenyewe yamejaa stress, unategemea stress zitapungua ukioa/olewa? Je hali itakuwaje ukiwa mtalaka/mjane baada ya kuzoea stress zako na za mwenzako, halafu anakuwa hayupo? Kwa hiyo hizo picha za jogoo anayeendelea kupigika ndiyo hali halisi. Ni mambo mdundo ki-stress kwa kwenda mbele!!!
.Nimempenda huyo divorced amejazia.
John Gottman, mtaalamu anayeheshimika katika masuala ya ndoa, anaripoti kwamba, ndoa yenye matatizo, inaweza kuongeza uwezekano wa kukuletea magonjwa kwa asilimia 35! Anaamini kwamba kuitumikia ndoa yako kila siku itakusaidia zaidi kwenye afya yako au kuishi maisha marefu kuliko kutoishughulikia na ukajikuta ni mtu wa kuumwa hovyo.Hili bandiko nimeliweka kwa nia njema siyo kumtisha mtu, nimelileta ili watu wasome hiyo hali halisi kifani (model), waji-fitishe, watafakari kulinganisha na hali halisi,na baada ya hapo wachukue hatua muafaka kufanya damage control. Ni hicho tu, maisha yenyewe yamejaa stress, unategemea stress zitapungua ukioa/olewa? Je hali itakuwaje ukiwa mtalaka/mjane baada ya kuzoea stress zako na za mwenzako, halafu anakuwa hayupo? Kwa hiyo hizo picha za jogoo anayeendelea kupigika ndiyo hali halisi. Ni mambo mdundo ki-stress kwa kwenda mbele!!!
Nimempenda huyo divorced amejazia.