A matured man needed for marriage

A matured man needed for marriage

Unatafta mfadhili wako wa maisha...hahhaah.
 
Kingereza kinapanda lkn kwa mbinde sijuia ...sijui nitaangaliwa kwa jicho pevu???[emoji53][emoji53]
 
Hakuna ''gentlemen'' wenye umri huo wewe hapa Tanzania, watu wenye umri huo ni wazee kabisa na gentlemen hapa kwetu wana umri wa below 35. Shida zote hizi utampata wapi a really gentleman mwenye umri huo? Hizo age jamaa wamechoka na usipouliza umri utadhani wana above 50 kumbe vijana ila shida mama.
 
Smart physical appearance? Can you detail it?

Are you too that smart physically...

I'm waiting for an answer
 
Good morning my fellow Jf members
My real name is Linda am 28 years old.

Am looking for a serious lovely man to spend the rest of my life with.

The man am looking for should be aged from 38 years to 45 years.

He should be tall (more than 5.6 feet) and has a smart physical appearance.

He should be a Christian and not otherwise.

If he has children its okay with me but he should not be married to another woman unless he is divorced.

He should be a fluent English speaker. He should be living in Dar or from the Northern tz zone.

As for me am currently employed but almost quitting my job so as to be a business woman.

Please don't bother PM me if you don't have the above qualifications.

This post applies to serious gentlemen only [emoji8]
Mtoto, zama PM mikubebishe. Picha yangu angalia Profile yangu. Njoo fastaa.
 
Nisamehe lakini kama utakuwa umekwazika, kwa huo umri tegemea kupata mme wa mtu
 
Vyote ninavyo mrembo ila kidogo hapo kwenye english bado yangu ni yakuchechemea yani ya hapa na pale. Vipi nije huko au niendelee tu mambo zangu
 
Good morning my fellow Jf members
My real name is Linda am 28 years old.

Am looking for a serious lovely man to spend the rest of my life with.

The man am looking for should be aged from 38 years to 45 years.

He should be tall (more than 5.6 feet) and has a smart physical appearance.

He should be a Christian and not otherwise.

If he has children its okay with me but he should not be married to another woman unless he is divorced.

He should be a fluent English speaker. He should be living in Dar or from the Northern tz zone.

As for me am currently employed but almost quitting my job so as to be a business woman.

Please don't bother PM me if you don't have the above qualifications.

This post applies to serious gentlemen only [emoji8]
PM me, i have all you are looking for
 
You lost password lugha sio masharti na kigezo cha mwanaume atakae kuoa...unaonekana upo desperate unahitaji mwanaume halafu unaweka na masharti
 
Sasa si ukaolewe na mwingereza mwenzio huko sisi waswahili unatutakia nini jamani na wakati elimu zetu unazijua kabisa.
.
.
Kiswahili tu kinanichenga je hiyo lugha ya watu itakuwaje unadhani?.[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Sijui ni apply?? Ila nilishauriwa hapa JF at least ni subiri for 2 years after lost my wife last August. Otherwise. I fit the criteria.
 
Back
Top Bottom