A message to the Russian ambassador to Tanzania

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
We the people of Tanzania we support you in this self defense war against USA and NATO who have brought devastating outcomes to mankind globally since 19centuty we the Tanzanias we ask the Russian ambassador to Tanzania to pass throughout all social media and see how Tanzanians and africans in large scale how much we support you!! Russia is a true superpower and our dear Ally.
 
Russia gonga gonga hao Uraine, kwenye Media wanajaribu kuaminisha kwamba jeshi la Ukraine lipo fiti ila ukweli hua haujifichi, Ukraine kashaporwa miji kadhaa

Hata hivyo nafurahi kuona nako ulaya wanachapana nao wayajue maumivu tunayopitia waafrika kwenye vita ambazo haziishi .

Majuzi nimecheka sana eti Ukraine anaomba umoja wa afrika umuunge mkono kwamba anachofanyiwa na Urusi sio sahihi, naona dawa inawaingia sawasawa.

Nai support Russia waimeze ukraine na vinchi hata viwili hivi ambavyo vinataka kujiunga EU, hizo nchi sikuhizi ajenda zao kuu ni kuhamasisha wanaume wawe wanatumia sehemu zao za haja kubwa kuingizwa mikuyenge .
 
IMG_4413.jpg
 
Tuko pamoja na urusi, wakimaliza huko waje na
hapa bongo kuwa de-nazify CCM washenzi sana wanatusumbua na ufisadi wa kijinga.

Walete kikosi cha chechnya batallion 1O tu zinatosha kuwasambaratisha mabwege na machawa wao
 
We the people of Tanzania we support you in this self defense war against USA and NATO who have brought devastating outcomes to mankind globally since 19centuty we the Tanzanias we ask the Russian ambassador to Tanzania to pass throughout all social media and see how Tanzanians and africans in large scale how much we support you!! Russia is a true superpower and our dear Ally.
Remove the the pronoun "We" Tanzanians aren't stupid as you are.
 
We the people of Tanzania we support you in this self defense war against USA and NATO who have brought devastating outcomes to mankind globally since 19centuty we the Tanzanias we ask the Russian ambassador to Tanzania to pass throughout all social media and see how Tanzanians and africans in large scale how much we support you!! Russia is a true superpower and our dear Ally.
Shida ni hii English ya kuandikia essay ya history
 
We the people of Tanzania we support you in this self defense war against USA and NATO who have brought devastating outcomes to mankind globally since 19centuty we the Tanzanias we ask the Russian ambassador to Tanzania to pass throughout all social media and see how Tanzanians and africans in large scale how much we support you!! Russia is a true superpower and our dear Ally.
Russia hana Russian aid yoyote huyo ambassador aonyeshe hata choo au hata kisima kimoja tu cha maji kidogo au hata darasa moja tu la chekechea vilivyojengwa kwa hisani ya warusi

Hopeless huyo balozi

We don't need your statement go to hell with your Putin

Munaendekeza expansionism kwenye Ulimwengu huu wa wastaarabu unaoheshimu mipaka ya nchi zingine na uhuru wao na kujiamulia mambo yao as a free country

Russia get out of Africa go and park your stupidity at Kremlin Bulding not in Tanzania
 
Russia hana Russian aid yoyote huyo ambassador aonyeshe hata choo au hata kisima kimoja tu cha maji kidogo au hata darasa moja tu la chekechea vilivyojengwa kwa hisani ya warusi

Hopeless huyo balozi

We don't need your statement go to help.with your Putin

Munaendekeza expansionism kwenye Ulimwengu huu wa wastaarabu unaoheshimu mipaka ya nchi zingine na uhuru wao na kujiamulia mambo yao as a free country

Russia get out of Africa go and park your stupidity at Kremlin Bulding not in Tanzania
Unajisifia uhuru wa kujiamulia halafu unalilia matundu ya choo, aibu sana yani. Unaamua nini wewe zaidi ya CCM na magenge yao ndio waamuzi wa kila kitu?
 
Back
Top Bottom